Elections 2010 Matokeo ya awali jimbo la Kilombero na matukio ya ajabu

Status
Not open for further replies.
Kilombero ina kata 23,nimeongoza kata 13.10 amechukua mwenzangu.Ushindani ni mkali sana ingawa nilimfunika sana kwenye kampeni alikuwa hafurukuti.

Hizo kata 13 umeongoza kwa kupata madiwani au kwa kura za ubunge tuu, maana kama umepata 13 kati ya 23 utakuwa umetwaa uongozi wa halmashauri
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>
 

Tunashukuru kwa hizo update dada yetu, hapo ni kwamba mmeshamaliza kujumlisha matokeo au mmeshamaliza kata ngapi.. tuambie nafsi zetu ziwe na amani.
 
Bless uu dada! Kwanza tushinde,kisha tusherekee na kipaumbele kuwatumikia wapiga kura wako kama vile kwa Mungu wako!
 
thanx josiah maana natokea kilombero nilikuwa natamani matokea hayo kwa hamu. tusubiri tuone mwisho wake utakuwaje maana michakachuo hii itatumaliza
 
Kilombero ina kata 23,nimeongoza kata 13.10 amechukua mwenzangu.Ushindani ni mkali sana ingawa nilimfunika sana kwenye kampeni alikuwa hafurukuti.

Tunakuombea saaaana kwa muumba wa mbingu na nchi ili ulitwae jimbo
 
Kilombero ina kata 23,nimeongoza kata 13.10 amechukua mwenzangu.Ushindani ni mkali sana ingawa nilimfunika sana kwenye kampeni alikuwa hafurukuti.
Ukilegeza tu wana chakachua, wekeni kambi hapo mapofanyia majumrisho
 

Mungu akubariki dada angu! hakika utashinda

Usisahau nilikuomba kazi ya kuwa dereva ako.:smile-big::smile-big::hippie::hippie::hippie:
 
Hiyo imekaa BIEN!!!
Sijui waTZ walikuwa wapi kufumbuka mcho toka longu taimu!
Hongera dada yetu!
 
Jamani msiturushe roho bure! Kama mambo ndivyo yalivyo, basi chichiem imekwenda na maji.
 
Dada Regia, kwanza pole sana kwa kazi kubwa na yenye uvumilivu mwingi....
Naomba nikukumbushe kwamba, majimbo yote ambayo tumeshinda, matokeo yamesomwa kwa kulazimishwa sana. Naomba tusifanye makosa tukaamini kwamba tumeshinda kirahisi, kaeni hapo hapo kama ilivyofanyika Ubungo, Nyamagana na Ilemela na hata mbeya. Pls usiwape nafasi hao watatufanya vibaya....

Kwa mara nyingine nakupa pole sana..
 
Kilombero ina kata 23,nimeongoza kata 13.10 amechukua mwenzangu.Ushindani ni mkali sana ingawa nilimfunika sana kwenye kampeni alikuwa hafurukuti.

Unalindaje sasa mamaaa?
 
Hali si hali kwani baada ya MTEKETA kuonekana kuongoza mambo yamebadilika,na mwana JF mwenzetu biti MTEMA anaongoza kwa kura 1212 lakini hawataki kutangaza na wameanza kuchakachua wanasema watatangaza saa tisa.

Hizi ni habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika
 
Hawa jamaa walaaaaaniwe kwa vitendo vyao
 
Wooooww..
Jamani Regia wetu...
Waambie wananchi wasicheze mbali na eneo la tukio!
 
Mimi nilihisi tu halafu wananchi wa ifakara waoga wakiona magwanda wamekaa mbaaali tuombe mungu ccm wasifanikiwe kuchakachua result
 
Nguvu ya umma itumike. Watu wakubali kuwa mabadiliko hayaji kwa kukaa tunyumbani na kuangalia tv eti unasubiri matokeo! Nendeni pale halmashauri mshinikize kutangazwa kwa matokeo.

Ni kweli watawaumiza lakini si mbaya kuumia kwa ajili ya wengi; hata hao polisi wanafika mahali wanachoshwa na hali. Si mmeona ubungo polisi walivyochoka !
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…