Matokeo ya darasa la 7 kwa kutumia aplikesheni inayotumia akili bandia (AI)

Wewe kuwa muwazi tu unataka watu wadownload application yako ya kuangalizia matokeo (zipo nyingi)

Nilichoona ni kuangalia tu matokeo, uliposema akili bandia nilitegemea naweza kuchat na app inichambulie na kunifafanulia matokeo kwa mahitaji yangu.

Usiwe unaongeza chumvi, Siku nyingine kuwa mwaminifu upate hata watu wa kukushauri namna ya kuiboresha app.
 
Huyu ni watu wanao lidhalilisha taifa na watu wa IT wanaonekana sifuri. Sasa hapo kina AI gani, kama UI ya app yake imemshinda ku design ML, NPL model ndo ataweza ku design??

Nimepoteza FKN 27MBs kisa huu ujinga
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kumbe umejaribu mkuu?
 
Umeipa rate ya nyota ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili ni jukwaa la tech, Elezea hio akili bandia inatumikaje kwenye app tofauti na kuangalia tu matokeo kama tulivyozoea tangu zamani
Imetumika katika kuchambua na kupangilia data
 
Huyu ni watu wanao lidhalilisha taifa na watu wa IT wanaonekana sifuri. Sasa hapo kina AI gani, kama UI ya app yake imemshinda ku design ML, NPL model ndo ataweza ku design??

Nimepoteza FKN 27MBs kisa huu ujinga
πŸ‘†πŸΎEti linajiona linajua sana alafu linalalamikia mb 27 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msaada , Nitumie screenshot yake nione maana simu zinatofautiana .
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kumbe umejaribu mkuu?
Ku support wana mara moja moja
Umeipa rate ya nyota ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚
1/10 hamana kitu mkuu
πŸ‘†πŸΎEti linajiona linajua sana alafu linalalamikia mb 27 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu nafanya economics mwaka wa 30+ sasa, najua thamani ya hadi mb 1, ni me download app yako ku toa-support kwa mwana JF mwenzetu najua ugumu ku develop product mm matokeo ya lasaba nipeleke wapi??
Badala uulize wapi kunachaga moto unaanza kuleta ujiaji embu kua na shukurani
 
Sasa wewe kwa akili yako uki- download Mimi nafaidika na nn zaid ya intellectual satisfaction tu, kwa akili yako ya kuku hata ukifanya hiyo economics miaka 100 ni kazi bure tu. Ata mimi matokeo ya darasa la saba siyaitaji lakin haijanizuia kutengeneza hiyo app, watu kama wewe mwenye upeo mdogo wa akili alafu ujuaji mwing ndio manaleta shida sana katika jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…