Matokeo ya darasa la 7 kwa kutumia aplikesheni inayotumia akili bandia (AI)


Shukuran mkuu
 
Shukuran mkuu
Kwenda zako huko , Wewe UI kama hiyo unaweza kutengeneza??, Hiyo UI unayoidharau nimeisumbukia tokea 2016, Je unajua technology gan imetumika hapo?, peleka ujuaj wako huko, Eti "Shukuran mkuu", "Shukuran mkuu" my ASCII 🤓
 
Emu eleza AI inatumikaje kwenye hio App, yaani wapi Kuna matumizi ya UI kwa User watu ndicho wanataka aio blablaa

Hata monetization yako unaijua Kama marketing tu inakusumbua instead kueleza watu inavyofanya kazi na hio AI inaleta potential gani kwa user ukilinganisha na zingine hili apakue wewe unapigana.
 
Kuna jamaa kanitumia email kwamba hii app imefanya atoke kazini mpaka duka la vifaa vya computer na kumnunulia mtoto wake laptop ili naye aanze kujifunza programming mapema, Nikafurah sana nikaona ngoja ni-create hii post, baada ya kucreate mr dwanzi anakuja kutoa review zake za chicken brain za 1/10 UI mbaya. Kati ya dwanz na aliyemnunulia mtoto wake laptop ni yup ana akili timamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…