Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya darasa la saba yametangazwa leo huku ufaulu ukiongezeka toka asilimia 30.72 to 50.61..source east africa radio
Aisee hivi bado tu hawajaanza kuweka matokeo ya darasa la saba kwenye mtandao mpaka karne hii?
Aisee hivi bado tu hawajaanza kuweka matokeo ya darasa la saba kwenye mtandao mpaka karne hii?
- Yap ni tatizo kwakweli, Wahusika bado wapo usingizini, wakiamka wataanza kuweka. Sijui kuanzia mwaka upi!
He siku hizi wanatoa mapema hivi au ndo kali ka chachandu ketu ka BRN
He siku hizi wanatoa mapema hivi au ndo kali ka chachandu ketu ka BRN
matokeo ya darasa la saba mwaka 2013 yametolewa na baraza la mitihani ambapo shule binafsi zimeendelea kutesa kitaifa. Kwa mkoa wa mbeya shule ya msingi ya ilasi english medium ndiyo iliyoongoza huku ikishika nafasi ya tisa kitaifa.
Aisee hivi bado tu hawajaanza kuweka matokeo ya darasa la saba kwenye mtandao mpaka karne hii?
Mbona sijaona shule walizopangiwa au watatoa baadae!