Matokeo ya darasa la saba yametoka, halafu?

Matokeo ya darasa la saba yametoka, halafu?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
What has it to do for the life of that pupil?

Ufaulu umepanda umeshuka sijui... Wamefaulu kwa daraja sijui A, B, C, then what?

Ufaulu huu unamsaidiaje mtoto huyu kuweza kumudu mazingira yake na maisha na wazazi wake?

Na mizazi mingine iliyokosa akili... Wakati mitoto imemaliza kusoma ujinga wa KKS na KDS... Mmewapeleka PREFORM ONE wakasome WHAT IS MATHEMATICS, WHAT IS APPARATUS...

MY FRIENDS LIFE NOW IS NOT ONLY OF ULE UPUUZI WANAOJIFUNZA SHULENI WAKAKARIRISHWA... UNAPPLICABLE...

Fundisheni watoto wenu kazi zenu... Kama wewe unafanya BIASHARA Mrithishe mwanao biashara hiyo mfundishe aive kiasi kwamba unaweza ukamwachia bila wasiwasi... Kama wewe ni fundi mjenzi... Mfundishe ujenzi... Kama fundi cherehani... Mfundishe na yeye kushona...

Wanayosoma huko shule hayana kitu cha kumsaidia miaka yote zaidi ya 10...hata huko chuoni kwenyewe ukimaliza...UKIBAHATIKA kupata kazi... YOU NEED TO LEARN AFRESH UPYA VITU VIPYA... Sasa ulikuwa unasoma nini muda wote huo.

Umri ni mdogo sana... Tunzeni muda wa watoto wenu... HUKO MASHULENI WANAPOTEZA MUDA TU.
 
Back
Top Bottom