Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

Mimi nimeona yangu.. NOT SELECTED. Hope to try again this year. Nilifungua saa 10 alfajiri haikusumbua kabisa
tukumbushane this year..hivi hii si free kabisa ilinizingua sana kuomba nikahisi kuna some payment maelezo yalikua marefu sana
 
tukumbushane mwaka jaman maisha yanakwenda kasi sana october sio mbali
 
dah!..nilitamani sana kuomba hii kitu ila sikujua procedures hope this year nitakutafutia mkuu unisaidie nami nijaribu
 
Kama kawaida uvivu wetu wa kusoma.
 
dah!..nilitamani sana kuomba hii kitu ila sikujua procedures hope this year nitakutafutia mkuu unisaidie nami nijaribu
Usijari.. tutash2ana hapahapa
 
tukumbushane mwaka jaman maisha yanakwenda kasi sana october sio mbali
Niliisuburi kwa hamu sana yaaani.. ila asubuhi baada ya kuona NOT SELECTED nimeumia sana.. ila hope kucheza tena DV 2021
 
keep on hoping man leo yaweza issue ila kesho ikawa...kuna mahitaji gani kwenye hiyo application yani requirement?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…