Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

ENTRY HAS NOT BEEN SELECTED. kwa iyo ndo tumekosa tujaribu tena mwezi wa kumi? Nini kinasababisha tukose?
 
Professional kabisa.. ina kb zake nk.. mimi huwa napiga pale mlimani city.. ww waambie tu picha ya Visa ya US wao wanajua
Mkuu kwenye piçha weng ndo tunashindwa apo ..hata hizo studio sidhani kama wanaelewa vigezo vyake!
 
ENTRY HAS NOT BEEN SELECTED. kwa iyo ndo tumekosa tujaribu tena mwezi wa kumi? Nini kinasababisha tukose?
Na mimi message hiyo hiyo.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji853][emoji853][emoji853]Kwa hiyo hapa ndiyo imetoka au tuweza kuangalia tena siku za usoni kabla ya kuapoly tena mwezi wa kumi
 
Twendelee kuangalia tu ndugu uwenda matokeo yakabadilika..[emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwenye piçha weng ndo tunashindwa apo ..hata hizo studio sidhani kama wanaelewa vigezo vyake!
Picha za kupigwa studio na photographer profession ambaye anajua ujazo na ubora wa picha ya VISA wala sio kigezo sana.. ni kwamba tu tumekosa.. kama ni picha pale Mlimani city au My fair na penginepo wanapiga vizuri tu. Tuendelee kujaribu tena na tena. Kuna jirani yangu alishinda mwaka jana hvi hapa anajipanga na safari ndo anazidi kunitia hasira
 
Wasiopenda nchi yao utawajua tu,we nchi yako umeshindwa kuifanyia chochote uko unaenda kuongeza population tu
Hata hapa tunaongeza population tu.. mimi naamini mafanikio yapo mbali kabisa.. Hata vitabu vya dini mitume hawakufanikiwa walipozaliwa.. uwenda na wewe umezaliwa kijijini ila umeacha kijiji na kutafuta maisha mjini zen unaenda kujenga kijijini kwenu. Sisi tunapambana kwenda US kutafuta maisha.
 
Kama ukishindwa kuona muda huu damka alfajil ya saa 10 au 11 inakuwa fresh kabisa. All the best, let us know soon.
what is dis hence i put correct information[emoji47]
 
[emoji47][emoji47]
Screenshot_20190511-130844.jpeg
 
Twendelee kuangalia tu ndugu uwenda matokeo yakabadilika..[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]kuna message yao inasema ...dash dash HAS NOT SELECTED THIS TIME...
sasa hili neno this time likanifariji kwamba huenda hii lottery ikaendelea kuchezeshwa mpaka September 30, ..
Anyway...I was dreaming of something big
Ningefanikiwa miaka mitano tu, ningemchapa Trump makofi nirudi zangu
 
Picha za kupigwa studio na photographer profession ambaye anajua ujazo na ubora wa picha ya VISA wala sio kigezo sana.. ni kwamba tu tumekosa.. kama ni picha pale Mlimani city au My fair na penginepo wanapiga vizuri tu. Tuendelee kujaribu tena na tena. Kuna jirani yangu alishinda mwaka jana hvi hapa anajipanga na safari ndo anazidi kunitia hasira
Nimekosa ila siamini katika picha....picha nilizitendea haki..
Naamini tu haikuwa bahati at this time......Ngoja nijaribu tena October
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]kuna message yao inasema ...dash dash HAS NOT SELECTED THIS TIME...
sasa hili neno this time likanifariji kwamba huenda hii lottery ikaendelea kuchezeshwa mpaka September 30, ..
Anyway...I was dreaming of something big
Ningefanikiwa miaka mitano tu, ningemchapa Trump makofi nirudi zangu
Don't worry, lets hope we'll win next time. Also i was waiting for this and hoping this time is my time and the results show i'm not selected.
 
Lets wait for october, we'll apply until we make it.

Back
Top Bottom