- Thread starter
- #41
Picha tu ya Visa basi.. na kujaza fomu wala hakuna kitu kinginekeep on hoping man leo yaweza issue ila kesho ikawa...kuna mahitaji gani kwenye hiyo application yani requirement?
Picha tu ya Visa basi.. na kujaza fomu wala hakuna kitu kinginekeep on hoping man leo yaweza issue ila kesho ikawa...kuna mahitaji gani kwenye hiyo application yani requirement?
picha ya visa sijapigiwa hata huku uswahilini au ni professional zaidi?Picha tu ya Visa basi.. na kujaza fomu wala hakuna kitu kingine
Professional kabisa.. ina kb zake nk.. mimi huwa napiga pale mlimani city.. ww waambie tu picha ya Visa ya US wao wanajuapicha ya visa sijapigiwa hata huku uswahilini au ni professional zaidi?
poa poa wakati ukifika nitaenda kupigaProfessional kabisa.. ina kb zake nk.. mimi huwa napiga pale mlimani city.. ww waambie tu picha ya Visa ya US wao wanajua
Kila laheripoa poa wakati ukifika nitaenda kupiga
Mmezowea kamari,,si kamari hiyo boss ni lottery una apply kila mwaka october draw inafanyika may ukiwa selected una kua na chance za kufatilia mchakato wa kupewa viza ya kwenda kwa Trump na Green card pia, ila garama unajijua mwenye wawo wanakupa io viza tu ,,na hio permenant residence !!ndo nijuavyo mengine watakwambia wajuvi zaidiNi kamari? naomba nielekezwe.
Thanks asee sikujua.Mmezowea kamari,,si kamari hiyo boss ni lottery una apply kila mwaka october draw inafanyika may ukiwa selected una kua na chance za kufatilia mchakato wa kupewa viza ya kwenda kwa Trump na Green card pia, ila garama unajijua mwenye wawo wanakupa io viza tu ,,na hio permenant residence !!ndo nijuavyo mengine watakwambia wajuvi zaidi
Jaribu kuanzia mida ya saa 9 mpaka saa 10 alfajirWazee mbona web ya dv lottery haifunguki mpk sasa?
Jaribu kuanzia mida ya saa 9 mpaka saa 10 alfajir
Hapana.. NOT SELECTEDOK Mkuu.shukrani
Vipi umefanikiwa lakini?
Tusikate tamaa!Hapana.. NOT SELECTED
Ooh! Ngoja tupambane hope one day yesTusikate tamaa!
Mimi nacheza Mara ya 2 hii,
Kujifurahisha tu!.
Siku ikitokea fresh!
Kuna mwana yupo state ametokea jf
Vp umeshinda huhOooh Hallelujah..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Dah mkuu bado sjacheki ila nna imani nmeshinda, kwani niingie wap ndo nitakuta?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vp umeshinda huh
www.dvlottery.state.govDah mkuu bado sjacheki ila nna imani nmeshinda, kwani niingie wap ndo nitakuta?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]