Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

keep on hoping man leo yaweza issue ila kesho ikawa...kuna mahitaji gani kwenye hiyo application yani requirement?
Picha tu ya Visa basi.. na kujaza fomu wala hakuna kitu kingine
 
picha ya visa sijapigiwa hata huku uswahilini au ni professional zaidi?
Professional kabisa.. ina kb zake nk.. mimi huwa napiga pale mlimani city.. ww waambie tu picha ya Visa ya US wao wanajua
 
Ni kamari? naomba nielekezwe.
Mmezowea kamari,,si kamari hiyo boss ni lottery una apply kila mwaka october draw inafanyika may ukiwa selected una kua na chance za kufatilia mchakato wa kupewa viza ya kwenda kwa Trump na Green card pia, ila garama unajijua mwenye wawo wanakupa io viza tu ,,na hio permenant residence !!ndo nijuavyo mengine watakwambia wajuvi zaidi
 
Thanks asee sikujua.
 
Oooh Hallelujah..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wasiopenda nchi yao utawajua tu,we nchi yako umeshindwa kuifanyia chochote uko unaenda kuongeza population tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…