OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Mkuu kwenye piçha weng ndo tunashindwa apo ..hata hizo studio sidhani kama wanaelewa vigezo vyake!Professional kabisa.. ina kb zake nk.. mimi huwa napiga pale mlimani city.. ww waambie tu picha ya Visa ya US wao wanajua
Bado sana.. mpaka mwakani huko unawesa kuendelea kuangaliaPoa kwan mwisho ni lini wa kuangalia?
Na mimi message hiyo hiyo.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji853][emoji853][emoji853]Kwa hiyo hapa ndiyo imetoka au tuweza kuangalia tena siku za usoni kabla ya kuapoly tena mwezi wa kumiENTRY HAS NOT BEEN SELECTED. kwa iyo ndo tumekosa tujaribu tena mwezi wa kumi? Nini kinasababisha tukose?
Twendelee kuangalia tu ndugu uwenda matokeo yakabadilika..[emoji23][emoji23]Na mimi message hiyo hiyo.[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji853][emoji853][emoji853]Kwa hiyo hapa ndiyo imetoka au tuweza kuangalia tena siku za usoni kabla ya kuapoly tena mwezi wa kumi
Picha za kupigwa studio na photographer profession ambaye anajua ujazo na ubora wa picha ya VISA wala sio kigezo sana.. ni kwamba tu tumekosa.. kama ni picha pale Mlimani city au My fair na penginepo wanapiga vizuri tu. Tuendelee kujaribu tena na tena. Kuna jirani yangu alishinda mwaka jana hvi hapa anajipanga na safari ndo anazidi kunitia hasiraMkuu kwenye piçha weng ndo tunashindwa apo ..hata hizo studio sidhani kama wanaelewa vigezo vyake!
Hata hapa tunaongeza population tu.. mimi naamini mafanikio yapo mbali kabisa.. Hata vitabu vya dini mitume hawakufanikiwa walipozaliwa.. uwenda na wewe umezaliwa kijijini ila umeacha kijiji na kutafuta maisha mjini zen unaenda kujenga kijijini kwenu. Sisi tunapambana kwenda US kutafuta maisha.Wasiopenda nchi yao utawajua tu,we nchi yako umeshindwa kuifanyia chochote uko unaenda kuongeza population tu
Vp ww umefanikiwa?Amen, God will give us the chance in Jesus Christ. Amen.[emoji120]
Let us wait.
ENTRY HAS NOT BEEN SELECTED. kwa iyo ndo tumekosa tujaribu tena mwezi wa kumi? Nini kinasababisha tukose?
mbona mimi sipati acces ya kuingia kwenye website nione majibuBado sana.. mpaka mwakani huko unawesa kuendelea kuangalia
Link ipo hapo juumbona mimi sipati acces ya kuingia kwenye website nione majibu
Link ipo hapo juu
Kama ukishindwa kuona muda huu damka alfajil ya saa 10 au 11 inakuwa fresh kabisa. All the best, let us know soon.aca ni jaribu nione !!
what is dis hence i put correct information[emoji47]Kama ukishindwa kuona muda huu damka alfajil ya saa 10 au 11 inakuwa fresh kabisa. All the best, let us know soon.
[emoji47][emoji47]what is dis hence i put correct information[emoji47]
What are the result?what is dis hence i put correct information[emoji47]
You should put your Last name, confirmation number, the year of birth and write alternative word correctly. You might made a mistakes somewhere.[emoji47][emoji47]View attachment 1094022
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]kuna message yao inasema ...dash dash HAS NOT SELECTED THIS TIME...Twendelee kuangalia tu ndugu uwenda matokeo yakabadilika..[emoji23][emoji23]
Nimekosa ila siamini katika picha....picha nilizitendea haki..Picha za kupigwa studio na photographer profession ambaye anajua ujazo na ubora wa picha ya VISA wala sio kigezo sana.. ni kwamba tu tumekosa.. kama ni picha pale Mlimani city au My fair na penginepo wanapiga vizuri tu. Tuendelee kujaribu tena na tena. Kuna jirani yangu alishinda mwaka jana hvi hapa anajipanga na safari ndo anazidi kunitia hasira
Don't worry, lets hope we'll win next time. Also i was waiting for this and hoping this time is my time and the results show i'm not selected.[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]kuna message yao inasema ...dash dash HAS NOT SELECTED THIS TIME...
sasa hili neno this time likanifariji kwamba huenda hii lottery ikaendelea kuchezeshwa mpaka September 30, ..
Anyway...I was dreaming of something big
Ningefanikiwa miaka mitano tu, ningemchapa Trump makofi nirudi zangu
Nimekosa ila siamini katika picha....picha nilizitendea haki..
Naamini tu haikuwa bahati at this time......Ngoja nijaribu tena October