Matokeo ya DV Lottery 2020 kutoka leo saa 7:00 pm East Africa time

Lets wait for october, we'll apply until we make it.
Sure...
Natamani kukaa abroad mpaka utawala wa magu uishe kabisaaaa....nichume kule nije kuwekeza home baada ya utawala huu....labda utawala ujao utakuwa na sera nyepesi za kufanya biashara
 
Haondoki mtu hapa. Halafu hadi leo Trump hajaifuta bado hii DV Lottery?
 
Nimejaribu mara 3 in a row, na zote nimepigwa chini! Nimeweka mwakani itakuwa ndio my last attempt!
I'll apply till i make it.. no matter how long it will take.
 
Hii kitu nimeipenda embu nielewesheni wakuu
 
Nitakomaa moaka siku watakayonitumia ujumbe kuwa umri wangu umepitikiza ndiyo nitaacha...
Kutumika marwkani miaka 5 ni sawa na kutumika hapa bongo miaka 25.. trust me.

Ushauri mwingine unaweza kuomba scholaship ukasome wakati unaendelea kuaply hii DV
 
Yes,maisha yanaendelea huku tunachek fursa zingine kama kusoma huko nk. Tusistuck na kutegemea kitu kimoja
 
Yes,maisha yanaendelea huku tunachek fursa zingine kama kusoma huko nk. Tusistuck na kutegemea kitu kimoja
Daah hiyo itakua ngumu kwel, maana pale hamna option ya "forgot my password"... Nadhan wanafanya ivo ili idad ya watu pia iendelee kupungua, sina uhakika lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…