Matokeo ya form 4 2014 ni changa la macho: no improvement!

Setuba Noel

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
426
Reaction score
210
Wametangaza kuwa ufaulu umeongezeka kutoka 43% ya mwaka jana hadi 88%. Lakini hili ni changa la macho, hali ni ile ile. Ngojeni nikuonesheni walichofanya.
  1. Wamechomeka grades nyingine katikati. Miaka iliyopita kulikuwa na grades A, B, C, D na F, na points zake zilikuwa 1,2,3,4,5 respectively. Mwaka huu grades ziko 7 ambazo ni A, B+, B, C, D, E na F, na points zake ni 1 hadi 7 kwa mfuatano huo. Hizi grades za mwisho kuanzia D zimevutwa, zile marks zilizokuwa F wamezigawanyia kwenye E, halafu ile F ikawa na marks za chini sana.
  2. Divisions zimebadilika katika mgawanyo wa points. Hapa chini oneni ilivyokuwa kabla na sasa:
  3. [TABLE="width: 500"]
    [TR]
    [TD]kabla[/TD]
    [TD][/TD]
    [TD]Sasa[/TD]
    [TD][/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]Division[/TD]
    [TD]Points range[/TD]
    [TD]Division[/TD]
    [TD]Points range[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]I[/TD]
    [TD]7-17[/TD]
    [TD]I[/TD]
    [TD]7-17[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]II[/TD]
    [TD]18-22[/TD]
    [TD]II[/TD]
    [TD]18-24[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]III[/TD]
    [TD]23-25[/TD]
    [TD]III[/TD]
    [TD]25-31[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]IV[/TD]
    [TD]26-33[/TD]
    [TD]IV[/TD]
    [TD]32-45[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]0[/TD]
    [TD]34-35[/TD]
    [TD]0[/TD]
    [TD]46-49[/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]
    Siri iko kwenye hizo divisions 4 na zero, utaona katika jedwali hapo juu kuwa wigo wa zero ni mdogo sana, na ule wa division four ni mkubwa kuliko zote. Maana yake ni kuwa wengi ambao wangepata division zero wamezawadiwa division four, na hii ndio iliyotumika kutupiga changa la macho kuwa ufaulu umeongezeka.
  4. Sasa tazameni na matokeo ya jumla hapa chini muyasome sambamba na maelezo hapo juu, halafu judge for yourselves kama kweli ufaulu umeongezeka:
    1888554_848291181851968_1402328781_n.png
 
  • Thanks
Reactions: prs
Wametangaza kuwa ufaulu umeongezeka kutoka 43% ya mwaka jana hadi 88%. Lakini hili ni changa la macho, hali ni ile ile. Ngojeni nikuonesheni walichofanya.
  1. Wamechomeka grades nyingine katikati. Miaka iliyopita kulikuwa na grades A, B, C, D na F, na points zake zilikuwa 1,2,3,4,5 respectively. Mwaka huu grades ziko 7 ambazo ni A, B+, B, C, D, E na F, na points zake ni 1 hadi 7 kwa mfuatano huo. Hizi grades za mwisho kuanzia D zimevutwa, zile marks zilizokuwa F wamezigawanyia kwenye E, halafu ile F ikawa na marks za chini sana.
  2. Divisions zimebadilika katika mgawanyo wa points. Hapa chini oneni ilivyokuwa kabla na sasa:
  3. [TABLE="width: 500"]
    [TR]
    [TD]kabla
    [/TD]
    [TD][/TD]
    [TD]Sasa
    [/TD]
    [TD][/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]Division
    [/TD]
    [TD]Points range
    [/TD]
    [TD]Division
    [/TD]
    [TD]Points range
    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]I
    [/TD]
    [TD]7-17
    [/TD]
    [TD]I
    [/TD]
    [TD]7-17
    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]II
    [/TD]
    [TD]18-22
    [/TD]
    [TD]II
    [/TD]
    [TD]18-24
    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]III
    [/TD]
    [TD]23-25
    [/TD]
    [TD]III
    [/TD]
    [TD]25-31
    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]IV
    [/TD]
    [TD]26-33
    [/TD]
    [TD]IV
    [/TD]
    [TD]32-45
    [/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]0
    [/TD]
    [TD]34-35
    [/TD]
    [TD]0
    [/TD]
    [TD]46-49
    [/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]
    Siri iko kwenye hizo divisions 4 na zero, utaona katika jedwali hapo juu kuwa wigo wa zero ni mdogo sana, na ule wa division four ni mkubwa kuliko zote. Maana yake ni kuwa wengi ambao wangepata division zero wamezawadiwa division four, na hii ndio iliyotumika kutupiga changa la macho kuwa ufaulu umeongezeka.

Kweli wewe ni great thinker
 
ni jambo la kusikitisha mno. baada ya kutatua matatizo ya msingi kuboresha elimu. wanacheza na points ili kuwapumbaza wazazi na wananchi kwa ujumla waamini kuwa elimu imeboreka kwa kuongezeka ufaulu. sipati picha tunajenga kizazi gani kwa mwendo huu.
 
Inasikitisha sana sana.Tuwe na aibu japo kidogo,43% to 88%!in Tz!
 
Mabadiliko ktk hii nchi ni lazima. Kwa mwendo huu wachina watajaa hapa bongo na sisi tutabakia wafagizi wao.
 
Wametangaza kuwa ufaulu umeongezeka kutoka 43% ya mwaka jana hadi 88%. Lakini hili ni changa la macho, hali ni ile ile. Ngojeni nikuonesheni walichofanya.
  1. Wamechomeka grades nyingine katikati. Miaka iliyopita kulikuwa na grades A, B, C, D na F, na points zake zilikuwa 1,2,3,4,5 respectively. Mwaka huu grades ziko 7 ambazo ni A, B+, B, C, D, E na F, na points zake ni 1 hadi 7 kwa mfuatano huo. Hizi grades za mwisho kuanzia D zimevutwa, zile marks zilizokuwa F wamezigawanyia kwenye E, halafu ile F ikawa na marks za chini sana.
  2. Divisions zimebadilika katika mgawanyo wa points. Hapa chini oneni ilivyokuwa kabla na sasa:
  3. [TABLE="width: 500"]
    [TR]
    [TD]kabla[/TD]
    [TD][/TD]
    [TD]Sasa[/TD]
    [TD][/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]Division[/TD]
    [TD]Points range[/TD]
    [TD]Division[/TD]
    [TD]Points range[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]I[/TD]
    [TD]7-17[/TD]
    [TD]I[/TD]
    [TD]7-17[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]II[/TD]
    [TD]18-22[/TD]
    [TD]II[/TD]
    [TD]18-24[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]III[/TD]
    [TD]23-25[/TD]
    [TD]III[/TD]
    [TD]25-31[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]IV[/TD]
    [TD]26-33[/TD]
    [TD]IV[/TD]
    [TD]32-45[/TD]
    [/TR]
    [TR]
    [TD]0[/TD]
    [TD]34-35[/TD]
    [TD]0[/TD]
    [TD]46-49[/TD]
    [/TR]
    [/TABLE]
    Siri iko kwenye hizo divisions 4 na zero, utaona katika jedwali hapo juu kuwa wigo wa zero ni mdogo sana, na ule wa division four ni mkubwa kuliko zote. Maana yake ni kuwa wengi ambao wangepata division zero wamezawadiwa division four, na hii ndio iliyotumika kutupiga changa la macho kuwa ufaulu umeongezeka.
Hili ni janga kubwa kwa kweli.
Ukiangalia vizuri tunazidi kujenga taifa la vilaza kwa kupalilia ujinga kama huu. Kama j\hali ndo hivi tujue CCM wanatupeleka shimoni tukiona hivi hivi. Iweje mamboi yafanye hivi? ni ili kupata taifa gani? tutafakari sana wanajamii na wadau wa elimu. tulisemee hili suala wazi na watupe majibu. tunapeleka wapi hi elimu?
 
Walichofanya ni kuwahifadhi waliofeli katika mfumo wa zamani, kutelemsha marks!
 
Hichi kizazi cha hii elimu ndo wanafagilia CMM kwa kuwawezesha kufaulu. Hii ni tusi kwa sisi tuliosoma kipindi hich unapinda sana mpaka upate two ilikuwa unahitaji msuli wa kutosha na points zilikuwa 18-21.
 
Ndio nilishangaa eti division 3 ya pointi 30.....
 
Kwa mzazi mwenye uelewa mwanaye akiwa na four kafeli ni kumuandalia njia nyingine asifurahi kabisaaaaa, Tunaiuwa Elimu yetu kwa kutekeleza policy ya BRN
 
ni jambo la kusikitisha mno. baada ya kutatua matatizo ya msingi kuboresha elimu. wanacheza na points ili kuwapumbaza wazazi na wananchi kwa ujumla waamini kuwa elimu imeboreka kwa kuongezeka ufaulu. sipati picha tunajenga kizazi gani kwa mwendo huu.
cdhan kma serikali ni ya kuilaumu sana,mi naona wanafunzi wenyewe now days hakuna k2,huwez amin mbna mm nilikua sifuatilii kufundshwa na walimu darasani,?na nimefaulu vzur sana,lakn now days watoto vilaza sana wakichangiwa na uvivu wa wazaz
 
duuuuu! Elimu inadidimizwa hivi hivi tunaona cjui taifa la baadaye litakavyokuwa, kw system iiiii????
 
mikazó;8767365 said:
cdhan kma serikali ni ya kuilaumu sana,mi naona wanafunzi wenyewe now days hakuna k2,huwez amin mbna mm nilikua sifuatilii kufundshwa na walimu darasani,?na nimefaulu vzur sana,lakn now days watoto vilaza sana wakichangiwa na uvivu wa wazaz

wewe nawe unajisifu ulifaulu kwa kujibu maswali ya:-
Siasa ni______________
kilimo.
Nchini Tanzania elimu, afya, kilimo ni majanga!!!!
 
Mi sisemi!Mpaka kesho,leo nina hasira kwelikweli! Laiti ningemuona PR.KICHOMI,ningemcharaza viboko 12,kwa kuharibu elimu ya tanzania!
 
Hili ni janga kubwa kwa kweli.
Ukiangalia vizuri tunazidi kujenga taifa la vilaza kwa kupalilia ujinga kama huu. Kama j\hali ndo hivi tujue CCM wanatupeleka shimoni tukiona hivi hivi. Iweje mamboi yafanye hivi? ni ili kupata taifa gani? tutafakari sana wanajamii na wadau wa elimu. tulisemee hili suala wazi na watupe majibu. tunapeleka wapi hi elimu?

Its pure stupidity na lengo lao ni kuboresha maisha ya watoto wao tu, umeshaskia watoto wao wanasoma hapa,utaskia marekani, sa, europe in the best schools hata kama hawataperform kwa juu sana lakini exposure yao itakuwa kubwa, yaani huu ni ujinga sijapata ona na katiba mpya iangalia upya mitaala na mishahara ya walimu maana kuna watu wanauwezo wa kufundisha sana lakini mshahara wenyewe na mfumuko wa bei na mwenye akili zake aende maana viongozi wenyewe ni wezi tu, wao kujisogezea vitumbo na mali huku wakididimiza wanyonge, alafu utaskia watasema iundwe tume, ile pesa yale yale, eti 'big results now' au matope haya!
 
Back
Top Bottom