bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Wanajamimi mwenzenu macho yananiuma. Halii hii inatokana na mimi kukesha siku nzima nikitafuta mwanafunzi aliyepata A kwenye somo la English katika shule ya Pandahili.
Hii shule siku za karibuni ilikuwa na kashfa ya mwanafunzi kupotea, hata hivyo imeyabutua matokeo hayo in genera kweli kweli. In short kuna Div one 323, Div two 173, Div three 15, na hakuna Div four na zero.
Hivi WAtanganyika mbona mwaleta masihara kwenye lugha, kwa mwenendo huu tutaendelea kughalagazwa na majirani zetu mpaka lini.
Hivi nyinyi mliokimbilia masomo ya arts kwa kigezo kuwa na urahisi mbona matokeo yanawaumbua kwa kiasi hiki.
Masomo konki kama Physic na Mathematic unakuta Mabanda ya kutosha lakini kwenye English hamna. Basi tunaweza sema wanafunzi wa arts ni vilaza natural, hawaweki effort ya kutosha hivyo kupelekea kupata matokeo ya hovyo.
Nyinyi watu mliosoma art embu kuweni SERIOUS hata kidogo, Yaani kweli mtu una div one huku una D ya English unafurahia! Sasa hio A ya history itakusaidia nini kwenye dunia ya sasa. Mnachanganya sana kama homophones.