Matokeo ya form six 2023, English kwenye machela - case study Pandahili

Kwa MTz akikimbilia kitu anachodai ni rahisi, si kwamba atakwenda kufanya ufanisi kwa njia rahisi, bali ni kwenda kubweteka zaidi, na matokeo yoyote kwake hayatakuwa mabaya kulinganisha na kule kugumu. Na hii ni kwa kila sekta, kila nyanja.
Hata mkataba wa bandari, tunawaachua watu baki ili sisi tuzidi kubweteka, maana kuwafuatilia wezi, mafisadi wachache waliopo bandarini, nibiazi kubwa sana! Sasa dpw akituletea thumni au milioni moja yote Kheri!
 
Jamaa alikuwa hashtuki na anajiamini sana.
Ilikuwa ni noma, Kuna HKL mmoja alikuja nionyeshaga clip kuwa watu wa sayansi mna kiingereza kibovu, dah nilichoka.
Kuna kipindi kile korona inabamba alienda kwa mseven hapo,tafuta Ile clip ujivunje mbavu na kile kiinglish🤣🤣fatuma karume mwenyewe anachemka kwenye kiinglish🤣🤣
 
Yap mtized hataki kero,hata maza kaamua hili bandari kuwapa wajomba zake,kukwepa zile kero na wizi wa watized pale bandari🙏
 
Kuna kipindi kile korona inabamba alienda kwa mseven hapo,tafuta Ile clip ujivunje mbavu na kile kiinglish🤣🤣fatuma karume mwenyewe anachemka kwenye kiinglish🤣🤣
Nitaitafuta, hiyo clip sijaiona.
 
Yap mtized hataki kero,hata maza kaamua hili bandari kuwapa wajomba zake,kukwepa zile kero na wizi wa watized pale bandari🙏
Sema watz ni wezi kinoma.
Licha ya kwamba mkataba sio wa manufaa kwa Tanzania In a long run ila aisee wizi umezidi, mtu anawaza anunue gari mwaka wake wa kwanza wa kazi.
 
Sema watz ni wezi kinoma.
Licha ya kwamba mkataba sio wa manufaa kwa Tanzania In a long run ila aisee wizi umezidi, mtu anawaza anunue gari mwaka wake wa kwanza wa kazi.
Eeh pale Kuna mchwa,wanatafuna balaa🤣yani wanapiga kama wanakufa kesho🤣afu ni syndicate 🙏
 
Unaijua language one wewe 😀😀
Daah Language one nilikua napata 100/100 , language 2 nilikua siipendi kwasababu ya kuandika sana..nilikua natumia mpaka booklet tatu kwa lg 2.
 
Kwa hiyo unajua electrostatic na organic 1 & 2 Ila hujui kuandika ifm na neno la Kiswahili ardhi?
Nafahamu maneno hayo bro, sema nimeandika hivyo kutokana na hii kibandiko niliyoona mtandaoni.

For fun.
 
Attachments

  • status_me_status_IMG-20230714-WA0000.jpg
    30.7 KB · Views: 2
Reactions: Auz
Arts Itakuwa performance ya hayo masomo ni mbovu kote, siyo Pandahill tu.

Arts wengi huwa wanasema ni rahisi lakini masomo yao ni ngumu sana kupredict utakachopata, tofauti na hesabu ambayo kama jibu ni 1,, basi ni 1 Dunia nzima.
 
Kuna kipindi kile korona inabamba alienda kwa mseven hapo,tafuta Ile clip ujivunje mbavu na kile kiinglish🤣🤣fatuma karume mwenyewe anachemka kwenye kiinglish🤣🤣
Mpaka leo neno enterpreneur Haliposawa kabisi baada ya bwana yule kulitamka
 
Hata mimi niliyeishia la nne B najibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…