Ila huyu mama mpaka atoke madarakani tutasikia mengi....itafikia muda hata KUNYA itasemekana kuwa Mama amwezesha watu kunyaTimu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso.
Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea morali wachezaji.
Matokeo chanya tunayo yaona sasa kwenye mchezo wa kabumbu, ni uwekezaji wa maksudi alioufanya rais SSH.
View attachment 3428974
takatakaTimu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso.
Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea morali wachezaji.
Matokeo chanya tunayo yaona sasa kwenye mchezo wa kabumbu, ni uwekezaji wa maksudi alioufanya rais SSH.
View attachment 3428974
TunatikiKumbe huyu mama anachukiwa kwa mengi aisee!!
Tunatikitakataka
Hii ipo? Au marafiki zetu vipenzi watatukopesha ifike T107?Nasikia kuna b1 tzs wakichukua kombe, uwekezaji mkubwa sana huu.
mitano tena kwa mama.
Umeshindwa hata kuweka matokeo ngapi kwa ngapi?Au ni mcheza kriketi?Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso.
Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea morali wachezaji.
Matokeo chanya tunayo yaona sasa kwenye mchezo wa kabumbu, ni uwekezaji wa maksudi alioufanya rais SSH.
View attachment 3428974
Asubuhi hii nimekojoa mkojo wa mamaIla huyu mama mpaka atoke madarakani tutasikia mengi....itafikia muda hata KUNYA itasemekana kuwa Mama amwezesha watu kunya
Kwa kila Ushindi Ruto wa Kenya anatoa tsh million 20 kwa kila mchezaji 😂Uwekezaji.Ngoja nijifunze kwanza maana ya uwekezaji.
Sioni uhusiano wa neno "uwekezaji" na utoaji wa zawadi/motisha hapo.Au neno uwekezaji limekuwa na kupata matawi saidizi?Kwa kila Ushindi Ruto wa Kenya anatoa tsh million 20 kwa kila mchezaji 😂
Umeelewa sasa maana ya Uwekezaji?
Acha tu, Kila kitu mama, mama, mama, wanamwabudu kuliko Mungu, shame on themIla huyu mama mpaka atoke madarakani tutasikia mengi....itafikia muda hata KUNYA itasemekana kuwa Mama amwezesha watu kunya