johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yaani Kenya wakishinda mechi zote 10 kila mchezaji atapata tsh million 200Sioni uhusiano wa neno "uwekezaji" na utoaji wa zawadi/motisha hapo.Au neno uwekezaji limekuwa na kupata matawi saidizi?