johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yaani Kenya wakishinda mechi zote 10 kila mchezaji atapata tsh million 200Sioni uhusiano wa neno "uwekezaji" na utoaji wa zawadi/motisha hapo.Au neno uwekezaji limekuwa na kupata matawi saidizi?
Ukisikia kuwa kuna mbumbumbu TZ ndio hawa wasifia magoli ya maza yaani ni wajinga balaa...Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea morali wachezaji.
Huo siyo uwekezaji.Huo ni utoaji wa ahadi ya kutoa zawadi/motisha.Yaani Kenya wakishinda mechi zote 10 kila mchezaji atapata tsh million 200
Sio kunya tu bali hata kunyanduana watamsifu mama kwa kuwawezesha 😂😂KUNYA itasemekana kuwa Mama amwezesha watu kunya
Deni bado ni stahimilivu mkuu, usiwe na shaka na mwanamke mwenzako kabisa.Hii ipo? Au marafiki zetu vipenzi watatukopesha ifike T107?
Itafika wakati hata mtu akiwa na manzi wake atataja goli la mazaIla huyu mama mpaka atoke madarakani tutasikia mengi....itafikia muda hata KUNYA itasemekana kuwa Mama amwezesha watu kunya