Matokeo ya Green card lottery yameshaanza kutoka server imejam haifunguki

Matokeo ya Green card lottery yameshaanza kutoka server imejam haifunguki

Machame Juu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
1,514
Reaction score
3,363
Matokeo ya DV lottery green card yameanza kutoka usiku huu. Website ya kuangalia matokeo imeelemewa haifunguki. Watu wawe tu wavumilivu hadi kesho.
 
20230506_191753.jpg

Natamani hawa "wahuni" wangeenda huko waishilie huko huko watuachie Tanzagiza yetu.
 
Kushinda hii kitu ni bahati sana hata kama watu 55000 wanashinda. Pigatu mahesabu applicant zaidi ya million 10 wamecheza na kati ya hizo million 10 na ni 55000 wanakuwa selected. Ni kidogo sana
Kama ipo ipo tu..hata kama wnaselect watu 10 utashangaa humo.
 
Back
Top Bottom