Matokeo ya Higher testosterone level kwa mwanamke

Matokeo ya Higher testosterone level kwa mwanamke

Hizi ni hormone zinazohusika na uanamume na mambo ya kiume......wingi wa hormones hizi ni kukithiri kwa alama na matendo ya kiuanamume kwa mwenye nayo...........

Madhara kwa mtoto wa kike nadhani ni kuwa ni muonekano wa kiume zaidi na kuondoa muonekano wa kike........

Nadhani wakati wa balehe au kupevuka ndio huzidi kuzalishwa kwa hizo hormones kwa wanaume ili kumuweka.... nadhani kwa wanawake kuzidi kwa hormones hizo ni deficiency to za kimaumbile na uumbaji.....

Nawasilisha......

NB:
Mimi sio mtu wa afya au elimu ya tiba.....niliyoyaandika ni maoni kutokana na kujifunza mambo mbali mbali mitandaoni.........
 
Ongezeko la hormone ya testosterone mwilini inapelekea hicho kiwango cha ziada kuvunjwa vunjwa na kutengeneza androgens nyingi. Androgens ni kundi la hormones zinazobeba sifa za kiume, so kwa mwanamke anapata mizunguko ya hedhi isiyoeleweka, chunusi, kiwalaza, sauti nzito, n.k. (sio lazima zitokee zote).

Wanaofaidika ni wanamichezo, kwa maana testosterone inajaza misuli na inampa mtu strength, japo kuna kiwango haitakiwi kuzidi kwa wanamichezo.
 
Back
Top Bottom