Ongezeko la hormone ya testosterone mwilini inapelekea hicho kiwango cha ziada kuvunjwa vunjwa na kutengeneza androgens nyingi. Androgens ni kundi la hormones zinazobeba sifa za kiume, so kwa mwanamke anapata mizunguko ya hedhi isiyoeleweka, chunusi, kiwalaza, sauti nzito, n.k. (sio lazima zitokee zote).
Wanaofaidika ni wanamichezo, kwa maana testosterone inajaza misuli na inampa mtu strength, japo kuna kiwango haitakiwi kuzidi kwa wanamichezo.