Matokeo ya interview Chuo cha Ardhi kwa kada ya Assistant Lecturer - ICT yarekebishwe

Matokeo ya interview Chuo cha Ardhi kwa kada ya Assistant Lecturer - ICT yarekebishwe

Samba

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
74
Reaction score
65
Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800?

Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?

Screenshot_20221003-212810~2.png
 
Haina maana tena mana ambao wapo selected wamejijua.
 
Sasa hyo 001 hata wakrekebisha haileti maana mana kashakandwa huyo
 
Hivi kama tume ya ajira/Chuo Cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuweje Kwa watu 100-800?

Ni kweli watu wanawekewa matokeo Yao Kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 Tu ?

View attachment 2376416

Mwenyewe apo umeanza na Dada[emoji28]
 
Wamemkanda wakaoma wamempa maks nyingi wakamkamda Tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaaan hata ukijumlisha maks zake zote 50 hajafika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwamba wa 001 kapigwa trab na trat kwenye pepa moja hahhhh
Hahahhaa.

Nimeona Muhas watu wamekandwa aisee
 
Back
Top Bottom