Ni kweli si vyema kwa waandishi na wana media au kwa maneno mengine watu wapoongea naumma yapasa kuwa makini sana haya maswala ya kushadadia na kuweka maslahi ya wachache kwenye mambo ya msingi ndiyo yanazaa ya kibonde, na kwa taarifa yenu kibonde anasakwa juzi usiku walimwendea nyumabi kwake kwa nia ya kumuua. Pamoja na yote hayo nichukue fursa hii kumuunga mkono aliyesema tumpuuze maana hata grade zake za form four zishaonesha ni mtu wa aina gani. Pia wana UDSM wakiendeleza nia ya kumuua watakaohusika wote na victims wataweza kuingia matatani kwani huwezi jua unawezaenda mtaani kwa watu mkaitiwa wezi mkauwa au kujeruhiwa bila kutambulika ni mwanafunzi ama la maana hutakua na umeandikwa usoni. Pili kwa msomi kama umekuwa umedhalilishwa au umekerwa na media flani ni bora kuishitaki mahakamani kama huna imani na mahakama nenda media council of tanzania pale kina shivji na senkoro mvungi watakusaidia sana. Tatu mking'ang'ania kibonde mtapoteza hoja yenu ya msingi na kuonekana wahuni kama alivyosema. Mwisho kuna umuhimu mkubwa sana wa wanafunzi wa vyuo vikuu kuwatosa wale wote wanaowaibisha na kumpa kibonde cha kuongea maana hao ndiyo anakutana anao kwenye kichen paty na ubaba party may be. kuwaonya wanao vaa nguo za darasani na nguo ambazo kwa macho ya kawaida ni ya kichangudoa, kuwaonya wachache dhidi ya walevi kama wanaharakati walivyokua wananuka pombe ikimaanisha hawana comfidence mpaka wanywe pombe ndiyo waweze kuongea mbele ya waziri au kuhimiza wenzao kuandamana, kuwaonya wale wote wanoacha kusoma kwa bidii na kuishia kula stori, kuwaazsa wenzenu kuwa serious na masomao na siyo mwanafunzi anakua na note book moja kwa masmo matatu library haingii anaishia kupiga madaftari ya wenzao copy bila kujua kila mtu anatake note kwa kadiri alivyoelewa.