Proposed displinary measures 4 KIBONDE (The Lunatic/Kilaza of the century): Apewe Elfu 5, afanye ma2mizi anayodai wa UDSM tunafanya, iczidi ata sh. 1....akishindwa hili zoezi ananyongwa pale Rev Sqr. Akifanikiwa itabidi arudie tukio hilo kwa wiki 17 akifanikiwa anapewa angalau Diploma...au co?
ume sound so sexy ka shori vile.....goodHakuna ubishi kuhusu kipaji chako as a comedian, utangazaji na good performance yako as an MC, kwa sasa uko juu sana!. Please please please!..its about time come down little by little, jishushe, be humble kwenye matamshi yako infront of mic.
Pasco
leo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. pamoja na ku resit alipata d mbili tu. walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde
Kwaniiiiiii............. Hivi Bilgate alipata division gani.........??? Hivi huko mitaani hakuna wenye DIV one waliofulia..........??? AU mnaweza mkanionyesha makaburi ya wenye zero...........???? Jadilini alichokiropoka na si anaumwa nini, alipata DIV gani, histioria yake ipoje......!!!! Nyie mnaojadili hapa mbona hamuweki matokeo yenu...........??? AU wote mlipata wani ya 7 and then wani ya 3......??? ACHENI HIZO.............
DU kumbe shule za kata zimeanza enzi hizo!!
Hivi hata hata hao waandishi wa mashirika makubwa kama CNN, BBC wa vipindi kama vya hardtalk wote wamefika vyuo vikuu??
kama ameweza kupata d 2,ana haki kabsa ya kuropoka kama anavyoropoka,maana hajui asemacho,mana kurudia mtihani na kushindwa kupata c,ni tatizo,mwache azidi kuropoka,ndo mambo anayowezaleo nimecheka sana nilipoenda udsm nikakuta matokeo ya form four ya kibonde wa clouds yamebandikwa kila mahali. Pamoja na ku resit alipata d mbili tu. Walikerwa na kauli zake wakabandika matokeo yake ili kuonyesha alivyo kibonde
kibonde ni kilaza refer kamusi ya kiswahili,ndio maana sugu alimchana live na hata akubisha.
Kwako ndugu yangu, rafiki yangu na mwenzangu Ephraim najua utasoma hapa, haya nilitakiwa kukuambia kwa mdomo tukionana, au nikupigie simu lakini namba yako nime i delite long ago.
Pasco
Yaleteni basi hayo matokeo humu ndani!! Hilo litakuwa fundisho na kwa wengine!
Hivi hiyo terminology hapo kwenye red bado ipo?? Duh manake inanikumbusha muda kidogo........ume sound so sexy ka shori vile.....good