matokeo ya kidato cha 1V shule zenye majina ya viongozi

matokeo ya kidato cha 1V shule zenye majina ya viongozi

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
S1930 j. M. Kikwete secondary school
div-i = 1 div-ii = 3 div-iii = 5 div-iv = 38 fld = 60
 
Kuna tangazo la shule ya Masaburi , nafikiri ni shule mpya, sijui matokeo yatakuaje.
 
Zamani nilizoea shule ya sec/prmry uhuru,jamhuri,mzalendo,ujamaa,muungano etc,sasa hivi ni majina ya watu tu,tena kwa kutaka kujipa sifa mfano mama salma kikwete sec school,mama ana mkapa,kikwete,benjamini wiliam mkapa, etc.
 
S1930 j. M. Kikwete secondary school
div-i = 1 div-ii = 3 div-iii = 5 div-iv = 38 fld = 60
Inauma sana...yaani 56% wanafeli!......lakini ndio hivyo watawala hata hawashtuki.
 
[h=1] csee 2011 examination results
[/h] [h=3]s1806 yusuf makamba secondary school
[/h][h=3]div-i = 1 div-ii = 7 div-iii = 18 div-iv = 139 fld = 185[/h]

duh!!hzo four na zero ztapelekwa wapi jaman?
 
Hapa ni baada ya kuchakachuliwa, je yangetolewa live kwa TING si tungekibiana?

Hiyo shule ibadilishwe jina na kuwa Tuntemeke Sanga Sec. School uone mambo.

Kama vipi tufuate kanuni zilizotumika kumpa udokta role model wa shule
 
Shule nyingi zenye majina ya viongozi zimefanya vibaya sana
 
S1930 j. M. Kikwete secondary school
div-i = 1 div-ii = 3 div-iii = 5 div-iv = 38 fld = 60

na hapo wame standadize.waswahili wataishia madrasa.huku ooh tumenyimwa elimu,ooh eeh.hebu angalia shule zote za maeneo ya wana msikiti ovyoo
 
Back
Top Bottom