Hajui kuwa hata mwaka jana mtihani ulifajnyikaNaibu Waziri Mulugo anafahamu kuwa NECTA imeshatangaza matokeo?
Wakuu,
NECTA wametangaza matokeo tayari.
Kuyapata matokeo, tembelea:
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)
QT Results 2012 - JamiiForums
Wakuu one za 7 na 8 zipo ngap..? Me cjabahatika kuziona...
hayo matokeo ni mtaala mbovuNoted, thanks.
Tatizo wewe umechukua jumla yote wakiwemo private candidates, wakati hiyo 60.7% ni ya wanafunzi wa shule school candidates tu soma vizuri mchanganua utaelewaHii wizara u-Mulugo umezidi sasa. Kweli Kawambwa anahakika waliopata zero ni asilimia 60.1 kweli? Jamani mimi nimechua namba ya waliopata zero nikagawanya na idadi ya wote nimepata 52.8% sasa hizo 60.1 kazipata wapi?