Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
wakulijibu hili ni MULUGO,AU KAWAMBWA AU JOYCEjamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakulijibu hili ni MULUGO,AU KAWAMBWA AU JOYCEjamani mbona hamna kitu kwenye necta lakini we Rogie mbona kutudanganya? watu tokea asbh tuko hapa kwenye net tunasubiria matokeo hola!
Asante kwa link, lakini mbona sehemu ya kuandika jina la shule sioni?,
rekebisha jina La shule hapo kwenye redi lisomeke ROSIMIN - TANGAShule za seminari juu!
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa na QT.
Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa Mujibu wa Matokeo hayo ni 23520 kuanzia dara la I hadi la II huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.Aidha Waziri Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.
Shule bora ni pamoja na
St. Francis Girl ya Mbeya,
Marian Boys ya Bagamoyo,
Feza Boys DSM,
Marian Girls Bagamoyo, na
Simini ndizo zipo tano bora huku shule nyingine ni
Kanosa,
Jude,
St. Mary.
Source: Samuel sasali blog
asante kwa link, lakini mbona sehemu ya kuandika jina la shule sioni?,
Labda waliweka halafu wakatoa!!!!!
mbona ukifungua hii link inakuja na orodha ya shule zote? jaribu ukishindwa niambie nikusaidie, kama hujui center number ya shule nenda google kisha andika jina la shule utaipata centre number then ucheki kwenye hiyo orodha, https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/olevel.htmhakuna kitu, sehemu ya kuandika jina la shule au namba ya shule, hapo kwenye breaking news yao, matangazo current, kuna sehemu imeandikwa search necta.
Ukiweka jina la shule, yanakuja matokeo ya mwaka jana/juzi yaani csee 2011
Bado ipo hewani mkuu...wataka shule gani nikuPM page nzima?
kama unataka ni ku PM sawa ila siwezi weka hapa labda ufanye hivyo mwenyewena mimi naomba uniwekee hapa hapa make natumia simu. Bunazi secondary school (s0638) na kaisho secondary school (s0586)