Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

inafunguka taratibu sana ila thanks nimefanikiwa
 
Jamani hii ikiwa snapshot ktk taarifa ya ITV waziri hata aibu hana kabisa, jamani nchibyetu tunaelekea wapi
 
[h=5]SERIKALI imetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 ambapo kwa mwaka huu idadi ya wanafunzi waliofeli imeongezeka na kufikia laki mbili na arobaini.

Mbali na ongozeko la idadi ya wanafunzi waliofeli , ufaulu wa wanafunzi wa kike umekuwa mdogo ukilinganishwa na wa kiume.

Kati ya watahiniwa 126,847 ni watahiniwa 397,136 ndiyo waliofanya mtihani huo, wasichana waliofaulu ni 46,181 wakati wavulana waliofaulu ni 80,686 huku Waliofutiwa mtihani ni 789 kwa kosa la kuandika matusi katika mitihiani yao.

Shule kumi zilizotajwa kufanya vizuri ni pamoja na st. francis ya mkoani mbeya, marian wavulani ya pwani na fedha wavulana ya dar eslsaama.[/h]
 
mfarisayo asante sana. yaani ni majanga leo mama yake atazimia.. yaani hivi vibinti vya kileo hivi..aagh sina hata pozi la kusema,
 
Wadau naomben mniuploadie matokeo ya shule yenye no.s.540 na s.605 pamoja na no.s.444 natanguliza shukrani
 
dancani asante nimeona.. dah ni majanga hata sijui mama yake yupo katika hali gani kama ameyaona.. yaani nna hasira sana sana.[/QU
Asante sana ila bado muhusika anao uamuzi wa kurekebisha, elimu y sekondari na kundelea ni kusoma hakuna miujiza
 
Daahhh jukwaaa limependeza sana leo..

There are currently 6457 users browsing this thread.
(230 members and 6227 guests)
 
[h=2]national examinations council of tanzania[/h][h=1]
csee 2012 examination results​
[/h][h=3]
s1568 al-furqaan islamic seminary div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 19 fld = 73[/h]
 
[h=2]national examinations council of tanzania[/h][h=1]
csee 2012 examination results​
[/h][h=3]
s1921 luqman islamic seminary div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 16 fld = 17 [/h]
 
Back
Top Bottom