Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

yeromin

Asante kwa link, lakini mbona sehemu ya kuandika jina la shule sioni?,
 
Last edited by a moderator:
duh haifunguki sijui kwa nini loading................
 
Naomba mnisaidie kuniwekea bunazi scondary school (s0638) na Kaisho seconday school (s0586) simu yangu kimeo imeshindwa kufungua. Naomba sana mnisaidie.
 
Asante kwa link, lakini mbona sehemu ya kuandika jina la shule sioni?,

Kama watumia keyboard shika CTRL+F halafu andika jina la Shule, kama Jina la shule ni Unique (mfano Ilboru) itakupeka kwa hilo jina halafu gonga ENTER utakutana na ubao wa matokeo..Kila la heri.
 
rekebisha jina La shule hapo kwenye redi lisomeke ROSIMIN - TANGA
 
asante kwa link, lakini mbona sehemu ya kuandika jina la shule sioni?,

hakuna kitu, sehemu ya kuandika jina la shule au namba ya shule, hapo kwenye breaking news yao, matangazo current, kuna sehemu imeandikwa search necta.

Ukiweka jina la shule, yanakuja matokeo ya mwaka jana/juzi yaani csee 2011
 
Aisee naomba wda kuniwekea matokeo ya hz shule make simu yangu kimeo haifungui web ya necta kabsa. Bunazi secondary school (s0638) na Kaisho secondary school (s0586)
 
hakuna kitu, sehemu ya kuandika jina la shule au namba ya shule, hapo kwenye breaking news yao, matangazo current, kuna sehemu imeandikwa search necta.

Ukiweka jina la shule, yanakuja matokeo ya mwaka jana/juzi yaani csee 2011
mbona ukifungua hii link inakuja na orodha ya shule zote? jaribu ukishindwa niambie nikusaidie, kama hujui center number ya shule nenda google kisha andika jina la shule utaipata centre number then ucheki kwenye hiyo orodha, https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/olevel.htm
 
na mimi naomba uniwekee hapa hapa make natumia simu. Bunazi secondary school (s0638) na kaisho secondary school (s0586)
kama unataka ni ku PM sawa ila siwezi weka hapa labda ufanye hivyo mwenyewe
 
Hakuna cha mwana nani wala nini,hata me nakumbuka matokeo yangu yalikuja kwa namba,mnaoshangaa labda mliomaliza mwaka jana foolish age,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…