Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Guys, hii ni balaa inabidi turudi vijijini 2kaokoe jahazi shule za kata!!
 
Inasikitisha kuona watoto wanazidi kufeli siku hadi siku na serikali haioneshi jitihada zozote za kujinasua katika janga la kuwa na waliofeli wengi, ninasikitika sana kwa maana wasomi tulio nao ndo hao wanazeeka na tunaowategemea wanafeli mpaka kero, serikali yetu lini mtaamka na kuona sekta ya elimu ni bora?
Serikali haina MITAALA ya Elimu......(Mbatia, 2013) .....Toa Ushahidi au Kaa Chini Mheshimiwa Mbatia.......(Ndugai, 2013)
 
Elimu ni janga la kitaifa TANZANIA sijui alaumiwe nani. hao 60% waliopata sifuri kesho ndio haohao wanalalamika maisha magumu serikali haiwajali na kuhatarisha amani ya nchi kwa uandamana wakijidai kudai haki zisizojulikana, na mengi mengineyo. kweli kizazi cha bongo fleva.
 
Hali ni mbaya sana,Wizara inawajibika.

Nchi za viongozi wenye busara Waziri angeshajiuzulu lakini sio kwetu sisi ambapo Waziri hajui kama mitihani ya kidato cha 6 imeanza.
 
Duh naangalia shule moja hapa na hali iko hivi:

Div1=0
Div2=1
Div3=2
Div4=38
Zero=63

Waliofanya mtihani ni 104 na kwa maana hiyo waliofaulu ni 3 tu manake hiyo Div4 ni sawa sawa na sifuri kwa maana kwamba haimuwezeshi mwenye nayo kwenda popote. Hii nchi inaelekea wapi? Hawa watoto 101 watafanya nini baada ya hapa? Na bado wizarani una waziri ambaye anasema serikali ina mikakati ya kukabiliana na hali hiyo!! Mikakati,michakato na kadhalika na kadhalika wakati nchi inateketea, kweli kazi tunayo!
 
Fungeni shule mjipange vizuri kwanza. Shame !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 1 FLD = 75


Wengine wanaotia aibu ni hawa hapa. PUMBAFFFFFF

[h=3]S2119 HARVEST MISSION SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 2 DIV-III = 5 DIV-IV = 46 FLD = 48[/h]

[h=3]S0785 DAR-ES-SALAAM CHRISTIAN SEMINARY
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 23 FLD = 65[/h]

[h=3]S1595 ST.AUGUSTINO SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 8 FLD = 34.[/h]WAMEJAA TELE HUMU. PUMBAFFF
 
S4197 efatha secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 7 div-iv = 59 fld = 274

s4110 bishop nkola secondary school div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 3 div-iv = 31 fld = 17

s4011 st agathon secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 16 fld = 46

s3965 iringa adventist secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 13 fld = 30

s3785 sister irene secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 13 fld = 18

s3104 engarenarok tetrat lutheran secondary school div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 1 div-iv = 20 fld = 14

s2342 stamaria salome secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 16 fld = 16

s2119 harvest mission secondary school div-i = 0 div-ii = 2 div-iii = 5 div-iv = 46 fld = 48

s1684 st michael secondary school div-i = 0 div-ii = 2 div-iii = 8 div-iv = 44 fld = 8

s1600 bishop durning high school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 20 fld = 19

s1595 st.augustino secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 8 fld = 34

s0785 dar-es-salaam christian seminary div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 23 fld = 65 .


Toa boriti kwenye jicho lako
 
Kunaumuimu wa serekali kufuta shule za kata hili kuongeza ushindani kwa wanafunzi. Hili kuondokana na haibu hii
 
aisee matokeo haya sio kabisa,labda miaka ijayo watafaulu
apa nawaza uyu dogo sasa nimfanyie nini
 
nisaidieni kuangalia hii namba s.1875/007 na overall ya s.3812

csee 2012 examination results


s3812 buna secondary school


div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 9 fld = 95



csee 2012 examination results


s1875 ishimwe secondary school


div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 23 div-iv = 81 fld = 24
 
ila matokeo yanuma sana! hivi kwanini vijana wetu wanafeli sana, hivi ni kwanini lakini au shoo zinakuwa nyingi sana.... inauma! ukiangalia wengi wao ni watoto wa kajamba nani, aaaaaahhhh mhhh inauma sana
 
HONGERENI.. Ongezea na haya mengine

S1589 MWANZA BAPTIST SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 7 DIV-IV = 33 FLD = 21



S4769 ST. CECILIA SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 7 FLD = 19



S4465 QUEEN MARY'S SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 5 FLD = .


Ukiwa unapata lunch shushia na hii



S4509 DR. WILBROAD SLAA SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 17 FLD = 22

 
Back
Top Bottom