Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali haina MITAALA ya Elimu......(Mbatia, 2013) .....Toa Ushahidi au Kaa Chini Mheshimiwa Mbatia.......(Ndugai, 2013)Inasikitisha kuona watoto wanazidi kufeli siku hadi siku na serikali haioneshi jitihada zozote za kujinasua katika janga la kuwa na waliofeli wengi, ninasikitika sana kwa maana wasomi tulio nao ndo hao wanazeeka na tunaowategemea wanafeli mpaka kero, serikali yetu lini mtaamka na kuona sekta ya elimu ni bora?
hana akili stress si awalaumu necta 'chan naeAhsante kwa tusi lako.
Fungeni shule mjipange vizuri kwanza. Shame !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 1 FLD = 75
There are currently 12730 users browsing this thread. (504 members and 12226 guests)
nisaidieni kuangalia hii namba s.1875/007 na overall ya s.3812
Wakuu,
NECTA wametangaza matokeo tayari.
Kuyapata matokeo, tembelea:
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)
QT Results 2012 - JamiiForums