Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

Rogie thanks aisee ila mbona hawajatoa majina wameweka namba

Siamini kama kuna walimu huko mashuleni, hebu serikali ijaribu kuendesha shule zake kama shule binafsi zenye malengo mazuri wafanyavyo, kila mwaka mtoto avuke kidato kwa point fulani, mfano mtoto asipofikisha wastani wa 30 asivuke kidato. hii itawafanya watoto wajitume kusoma kwa kuhofia aibu ya kusoma darasa moja kwa miaka mingi au kuzeekea shuleni.
 
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1098/0149
[/TD]
[TD="width: 4%"] M
[/TD]
[TD="width: 6%"] 25
[/TD]
[TD="width: 4%"] III
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1098/0163
[/TD]
[TD="width: 4%"] M
[/TD]
[TD="width: 6%"] 21
[/TD]
[TD="width: 4%"] II
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-C PHY-C CHEM-C BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hongera zao.

thanks god my students passed ah
 
Hahaha..mkuu ina maana darasa lote wanafunzi wako walikuwa wawili tu..au wewe ndiye ulikuwa mwalimu wa tuisheni?

unajua ndege hutua mti aupendao we kilazaa nini kwanza we darasa la saba kama sikosei
 
Hahaha..mkuu ina maana darasa lote wanafunzi wako walikuwa wawili tu..au wewe ndiye ulikuwa mwalimu wa tuisheni?

kwanza akili yako fupi kama chembe ya haradali utasema nini hayakuhusu
 
uuuuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwawamba na mulugo mnafanya nn ofsini kwa matokeo haya ya aibu kwa wizara yenu ama kweli viongozi wa ck hiz bwana ni tumbo mbele maendeleo nyuma
 
kwanza akili yako fupi kama chembe ya haradali utasema nini hayakuhusu

Heeeh hizi maneno zinatoka wapi tena!!!! Nimekuuliza kirafiki tu,kulikuwa na haja gani ya kuanza kutoa kashfa?? Kama hukupendezewa ungeachana nayo tu. Sasa hapa nani mwenye akili fupi mimi au wewe!!!
Hahaha eti elimu yangu ya darasa la 7.
 
yaishe
 
Watani wametuwakilisha wana Div 1 14 si haba katika ukame huu.

Bado kidogo nipate mshtuko wa moyo nikidhani hiyo "Centre" hapo chini ndo shule yenyewe ya Wagalatia wangu.

Lakini Div 0 180? Zimezidi hata Div 4? Sasa hapo mjini penye wajanja na umeme (japo kwa ridhaa ya TANESCO) huko Malampaka ndo kukoje tena? Si ndo unaweza kukuta mkoa mzima hakuna Div One hata moja ya kufutia machozi.

S0101 AZANIA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 14 DIV-II = 47 DIV-III = 57 DIV-IV = 137 FLD = 180

P0101 AZANIA SECONDARY SCHOOL CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 9 FLD = 25
 
Mkuu kwa mwendo huu usishangae kuona shule hata IV hamna.

Naona afadhali wametoa kwa namba, si majina.

Ndio nimeona hapo mkuu maana ni hatari sana kwa kweli na ni aibu sana tena, nadhani hii ni worst results...
 
Ndio nimeona hapo mkuu maana ni hatari sana kwa kweli na ni aibu sana tena, nadhani hii ni worst results...

Huyo mama wa Baraza la Mitihani anasema hajawahi kuona.

Na mimi nawaambia kama hakuna hatua za haraka zitakazochukuliwa kinachokuja mbele huko kitafanya haya matokeo yaonekane chamtoto.
 
Ndio nimeona hapo mkuu maana ni hatari sana kwa kweli na ni aibu sana tena, nadhani hii ni worst results...
Hapo mwanzo wadau walipokuwa wanalaumu NECTA sikuwaelewa lakini baada ya kuyapitia matokeo nimebaini moja ya sababu kubwa ya wanafunzi kufeli ni NECTA kutunga mtihani usiozingatia uwezo wa watahiniwa. Mfano kwa Tanzania nzima matokeo yanaonyesha kwamba hakuna mwanafunzi aliyepata point 8. Aidha katika somo la Geography hakuna aliyepata A kwa Tanzania nzima, hivyo NECTA hawakuwa makini katika uandaaji wa mitihani. Pamoja na hayo wanafunzi wamefeli sana hat shule zenye mahabala na walimu kama Jitegemee, hapo napo kuna nini. kati ya wanafunzi 682 waliofanya mtihani 443 wana O. Hivyo wadau kuna changamoto kubwa kwa vile si shule za Kata tu ndizo zilizofanya vibaya
 
Back
Top Bottom