Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
- Thread starter
- #281
Whech! Hivi kwa nini tovuti ya necta haipo kabisa? Sasa matokeo mnayaona wapi wadau? Niambieni bana.
https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/olevel.htm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whech! Hivi kwa nini tovuti ya necta haipo kabisa? Sasa matokeo mnayaona wapi wadau? Niambieni bana.
Rogie thanks aisee ila mbona hawajatoa majina wameweka namba
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1098/0149
[/TD]
[TD="width: 4%"] M
[/TD]
[TD="width: 6%"] 25
[/TD]
[TD="width: 4%"] III
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1098/0163
[/TD]
[TD="width: 4%"] M
[/TD]
[TD="width: 6%"] 21
[/TD]
[TD="width: 4%"] II
[/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-C PHY-C CHEM-C BIO-C B/MATH-C
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hongera zao.
Hahaha..mkuu ina maana darasa lote wanafunzi wako walikuwa wawili tu..au wewe ndiye ulikuwa mwalimu wa tuisheni?
Hahaha..mkuu ina maana darasa lote wanafunzi wako walikuwa wawili tu..au wewe ndiye ulikuwa mwalimu wa tuisheni?
kwanza akili yako fupi kama chembe ya haradali utasema nini hayakuhusu
Heeeh hizi maneno zinatoka wapi tena!!!! Nimekuuliza kirafiki tu,kulikuwa na haja gani ya kuanza kutoa kashfa?? Kama hukupendezewa ungeachana nayo tu. Sasa hapa nani mwenye akili fupi mimi au wewe!!!
Hahaha eti elimu yangu ya darasa la 7.
Mbona nilipokuwekea matokeo ya wanafunzi wako hukusema hayanihusu... Sikia kijana/binti jifunze kuwa na heshima..uwe wamjua au humjui mtu.
Hii matokeo, ndhani skulimeti wangu Asprin haitampedeza kabisa:
Hebu chekini hapa wakuu hamna divison 1 wala 2 wala 3 hatari sanaaa kwa kweli hili swala la kuangaliwa
https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s3903.htm
Mkuu kwa mwendo huu usishangae kuona shule hata IV hamna.
Naona afadhali wametoa kwa namba, si majina.
Ndio nimeona hapo mkuu maana ni hatari sana kwa kweli na ni aibu sana tena, nadhani hii ni worst results...
Hapo mwanzo wadau walipokuwa wanalaumu NECTA sikuwaelewa lakini baada ya kuyapitia matokeo nimebaini moja ya sababu kubwa ya wanafunzi kufeli ni NECTA kutunga mtihani usiozingatia uwezo wa watahiniwa. Mfano kwa Tanzania nzima matokeo yanaonyesha kwamba hakuna mwanafunzi aliyepata point 8. Aidha katika somo la Geography hakuna aliyepata A kwa Tanzania nzima, hivyo NECTA hawakuwa makini katika uandaaji wa mitihani. Pamoja na hayo wanafunzi wamefeli sana hat shule zenye mahabala na walimu kama Jitegemee, hapo napo kuna nini. kati ya wanafunzi 682 waliofanya mtihani 443 wana O. Hivyo wadau kuna changamoto kubwa kwa vile si shule za Kata tu ndizo zilizofanya vibayaNdio nimeona hapo mkuu maana ni hatari sana kwa kweli na ni aibu sana tena, nadhani hii ni worst results...