Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Habari zenu wana jamvi kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka leo tar 24/Jan/2019 Kwa jinsi Haya matokeo yalivyo wadogo zetu watapangiwa advance kuanzia division ngapi?
Na vipi itakuaje kwenye kubalance combination?
Natanguliza shukrani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…