King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
ST FRANCIS WAMETISHA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa si ndio mmiliki moja na St Mathew na Ujenzi sec ya mkuranga?
Shule za serikali wapi?Serikali inabidi mjiulize maswali je elimu bure ni solution. Tunataka Elimu bora na si elimu bure.
Hahahahahahaaaa hapana mkuu mbona wapo NJEMA sana MA TO? Nani TO aliyefail Maisha? Wengi naowajua wapo MBELE wanakula MAISHA na WENGINE Wapo BOT.Namuhurumia sana huyo Hope Mwaibanje. Ma To wengi hawanaga bright future!
Hizo ndio Shule za Kuwapeleka watoto.Hata wanavyolelewa ni hatari
#WAHUNI SIO WATU WAZURI
Mkuu ulipoenda juu kulikua na shule imeandikwa alpha Ps2571,?
Da nimekumbuka mbali kweli,Mwaka wetu mwenzetu mmoja alipata A masomo sita.Baraza wakamwita Dar wakamtungia paper lake mwenyewe na ulinzi juu,akapata A masomo saba...akaongeza A nyingine.
Shule gan?Div 1, 11,111, 1V, na Zero ziko ngapi?
Mkuu hiv huenda wapi??
Hahahahahahaaaa hapana mkuu mbona wapo NJEMA sana MA TO? Nani TO aliyefail Maisha? Wengi naowajua wapo MBELE wanakula MAISHA na WENGINE Wapo BOT.
Yani, sema wanachuja hatariHizo ndio Shule za Kuwapeleka watoto.
Huu utabiri, uganga au uchawi??Namuhurumia sana huyo Hope Mwaibanje. Ma To wengi hawanaga bright future!
Hivi serikali haiwaendelezi abroad??