Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Chato vipi kipindi hiki? hakujatoka mwanafunzi bora?
 
Hiyo ST Marks NECTA wanajiridhisha nini? Wakati mambo yote yalikuwa wazi na waliodanganya walikamatwa na kuhojiwa na wakasema ukweli wasomo na mwalimu aliye husika kudanganya.. Wasilete mambo uonevu wa samaki mmoja akioza wote wameoza.
Hawa si ndio mmiliki moja na St Mathew na Ujenzi sec ya mkuranga?
 
Kubwa zaidi leo..
Matokeo ni majibu ya yale waliyofanya hiyo mithani ..wazazi na walezi wana nafasi ya kuwajenga kweny hili ...watoto watakao ona matokeo hayaridhishi wasikate tamaa pia wawe na nguvu maana wazazi wengi lawama ni kwa watoto tu wanasahau na wao ni sehemu ya matokeo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom