Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Hiyo ST Marks NECTA wanajiridhisha nini? Wakati mambo yote yalikuwa wazi na waliodanganya walikamatwa na kuhojiwa na wakasema ukweli wasomo na mwalimu aliye husika kudanganya.. Wasilete mambo ya sanaki mmoja akioza wote wameoza.
Shule gan mkuu

#WAHUNI SIO WATU WAZURI
 
Kuna mchezo wa ada kuwa kubwa kulinganisha na shule nyingine nzuri zinazofanya vizuri mfano marian boys, hii inakimbiza watoto ..

kwa miaka ya karibuni fedha wanatumia nguvu nyingi kujitangaza kweny media hapa kuna dhana ...kizuri kinajiuza kibaya..., nikweli itakuwa pahala kweny system yao apako sawa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom