Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Huyo kafanya vizuri kwa maana ana D kadhaa na C kadhaa. Anaweza kupata vyuo vya nursing, afya, pharmasy kwa certificate.

Asi reseat, kwa mwaka huu, hatatoboa. labda aanze kusoma tena toka form 3 aje kureseat mwakani.
Ume soma lkn au umekimbilia kucoment [emoji41][emoji41][emoji23]kasema alikua ana soma Arts tu means masomo 7 tu... Izo pharmacy na nursing vp mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo kama taifa lengo letu kila mwaka ni kupima ufaulu tu?Mwaka mwingine ningependa pia mtuambie vijana wetu wa kidato cha NNE katika kipindi chao cha miaka minne shuleni wameweza kuvumbua abc.ufsulu umeongezeka ndo kitu gani?
 
Kama ameshindwa kufaulu kwa miaka 4 unategemea ataweza faulu kwa hiyo miaka 2 acha kupoteza hiyo hela kama una biashara unaweza mweka hapo akawa anakusaidia aki master vizuri biashara mpe mtaji ajitegemee mkuu...
Anaweza mkuu...

#WAHUNI SIO WATU WAZURI
 
Kufeli Form 4 sio mwisho wa maisha! Kuna watu wengi wenye mafanikio makubwa na walifeli ovyo! Mwambie dogo atafakari ni nini kinacho mfurahisha kusoma na kazi gani inampa raha. Yaani agundue kipaji chake ni kipi??? Halafu msaidie kujenga ile kipaji, na hela zitamfuata.
 
Frankly speaking afanye yote, lakini asiche kujaribu "online sector" katika nyanja walau mbili au tatu.
 
Wadau mniangalizie hii namba ya MDOGO wangu S0031 Mkoa Ruvuma,Wilaya Tunduru,Secondary ya Nalasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…