kiraremapojoni
JF-Expert Member
- Nov 30, 2018
- 391
- 512
Yameshatangazwa broNECTA | Home ingia hapo wanasema yatatangazwa hivi punde. Bora leo umejiongea kuuliza maana kuna ile twitter ya rais kuhusu betting ilikuwa fake na ukaipost
Acha hizo, wazazi hatupaswi kusubiri hayo matokeo?Hivi kumbe humu jf kuna machalii wanaosubiri matokeo ya kidato cha nne!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazuri sanaOverall performance ipoje watoto wetu wamefanya vizuri ama wamefanya makorokocho ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu kumbe humu kuna wanafunzi,mitihani niliyofanya miaka 20 iliyopita ndo umeifanya mwaka jana?Mioyo paaaaaaa! Ngoja ninywe Lipase H, pressure juu!
Aah! Kwahiyo unataka kuniaminisha kuwa we ni mzazi?Acha hizo, wazazi hatupaswi kusubiri hayo matokeo?
feza boys out of 10 boraMwenye matokeo ya Ilboru na Feza boys tafadhali sana aniwekee hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app