Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Da nimekumbuka mbali kweli,Mwaka wetu mwenzetu mmoja alipata A masomo sita.Baraza wakamwita Dar wakamtungia paper lake mwenyewe na ulinzi juu,akapata A masomo saba...akaongeza A nyingine.
ha ha ha ha ha ha ha hawa watoto wa siku hizi hawawezi hizi mambo
 
Shule zote waliongoza za wakristo tena wakatoliki?,wavulana waliongoza wakristo tena wakatoliki,wasichana waliongoza wote wakristo wakatoliki toka shule zote za wakatoliki.Huu ni mfumo kristo(in faiza n mohamed said)hahahahhaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kununua matokeo/mitihani hakujawahi kuziacha hizi Shule za Private salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…