Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Hiyo kitu naifikilia sema mim simmenage sana bdo ana wasaidizi wake/wazazi, mim pia nina msaada kwake.

Nimeona muda wa kurudia shule haupo tena!

Tunaangalia nin afanye kuliko kurudi shule!

Asante
Kama ameshindwa kufaulu kwa miaka 4 unategemea ataweza faulu kwa hiyo miaka 2 acha kupoteza hiyo hela kama una biashara unaweza mweka hapo akawa anakusaidia aki master vizuri biashara mpe mtaji ajitegemee mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wazazi wanafurahi watahiniwa wanarukaruka kwa sababu ya ufaulu mzuri zero zimepungua ila madaraja na upungufu wa walimu ndio vinaendelea kutukaba
Morale ya kazi ipo chini sana
 
Kipindi cha nyuma kuna seminary nilisomaga pale mbeya ndiyo ilikua tunakimbiza nayo hiyo ST FRANCIS ikiwa ya kwanza kitaifa sisi wa pili, hiyo seminry hata mbunge silinde alisoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka hiyo ya 2000 mpaka 2004 .Hiyo St mary 's hawajawahi kuipita Iyunga Technical au Tukuyu day secondary, Silinde alimaliza 2003.Check matokeo wewe

Walimu wa Iyunga wale vipanga ndio waliokuwa wanakodiwa St francis plus watoto wao au wa ndugu hupewa chance kusoma bure ST francis miaka hiyo unayoongelea
 
Habari za wakati huu wakuu, haraka sana niingie kwenye mada nina mdgo wangu kahitimu kidato cha nne mwaka jana na matokeo yake hayajapendeza nikimaanisha kapata division 4 ya point 26, na alikuwa anasoma masomo ya sanaa tu,

Kwenu wanajamvi naombeni ushauri , wazo namna ya kumsaidia huyu ndgu yangu aliyekwama kwenye safari ya elimu
Nawasilisha

Matokeo yametoka leo hafu hapohapo unaomba ushauri, tulia kwanza vijana wadigest walichokifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kututhibitishia kuwa wanafunzi wote waliokuwa wanasoma hizo shule zilizoongoza ni wakristo wakatoliki?....

Sent using Vertu Signature Cobra
Yeye kasema shule zilizoongoza ni za wakatoliki...hajasema waliokuwa wanasoma huko ni wakatoliki...but tangu lini wale wenzetu wa dini nyingine wameanza kupeleka watoto wao kwenye shule za wakatoliki(makafirii)..but kuna dini flani huwa inashule zake na huwezi kuziona zikifanya vizuri labda mikiani huko ndo utaziona... sjui wanakwama wapi...but hata ukiangalia hayo majina ya wanafunzi walioongoza utagundua karibu wote wanatoka dini flani
 
Huyo kafanya vizuri kwa maana ana D kadhaa na C kadhaa. Anaweza kupata vyuo vya nursing, afya, pharmasy kwa certificate.

Asi reseat, kwa mwaka huu, hatatoboa. labda aanze kusoma tena toka form 3 aje kureseat mwakani.
 
Back
Top Bottom