Bright future iko Poa sana,huwa napitaga hapo wako very strict ada mil 3 na unalipa kwa mkupuo,shule ina camera za cctv ina sheria nyingi sana kumlinda na kumjenga mwanafunzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha mtafutie shule nzuri akaanze form one siku hizi wanamaliza wakiwa wadogo sana
Eheh bwana, halafu anadai anataka kurudia shule miaka miwili, simuelewi ujue!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ameshindwa kufaulu kwa miaka 4 unategemea ataweza faulu kwa hiyo miaka 2 acha kupoteza hiyo hela kama una biashara unaweza mweka hapo akawa anakusaidia aki master vizuri biashara mpe mtaji ajitegemee mkuu...
Du Si mchezo ameamua kuitumikia jamii big up.Ni mtu mzima sasa boss. Chuo alishenda. Lakin anafundisha kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jina la shule tu hata Top 1000 haingiiJamani T. O AMETOKA SHULE GANI? Mana dogo nae alikuwa anawania kuwa TO kutoka makurunza sec school kata ya makurunza.
Chagua kusuka au kunyoa
Miaka hiyo ya 2000 mpaka 2004 .Hiyo St mary 's hawajawahi kuipita Iyunga Technical au Tukuyu day secondary, Silinde alimaliza 2003.Check matokeo weweKipindi cha nyuma kuna seminary nilisomaga pale mbeya ndiyo ilikua tunakimbiza nayo hiyo ST FRANCIS ikiwa ya kwanza kitaifa sisi wa pili, hiyo seminry hata mbunge silinde alisoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule za serikali zote tuziite st francisNimeangalia matokeo, Kuna Shule sita zenye jina la St Francis
yenye dv IV ni moja tu tena ziko tano tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka hiyo ya 2000 mpaka 2004 .Hiyo St mary 's hawajawahi kuipita Iyunga Technical au Tukuyu day secondary, Silinde alimaliza 2003.Check matokeo weweKipindi cha nyuma kuna seminary nilisomaga pale mbeya ndiyo ilikua tunakimbiza nayo hiyo ST FRANCIS ikiwa ya kwanza kitaifa sisi wa pili, hiyo seminry hata mbunge silinde alisoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo yametoka leo hafu hapohapo unaomba ushauri, tulia kwanza vijana wadigest walichokifanya.Habari za wakati huu wakuu, haraka sana niingie kwenye mada nina mdgo wangu kahitimu kidato cha nne mwaka jana na matokeo yake hayajapendeza nikimaanisha kapata division 4 ya point 26, na alikuwa anasoma masomo ya sanaa tu,
Kwenu wanajamvi naombeni ushauri , wazo namna ya kumsaidia huyu ndgu yangu aliyekwama kwenye safari ya elimu
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ku digest[emoji23]Matokeo yametoka leo hafu hapohapo unaomba ushauri, tulia kwanza vijana wadigest walichokifanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye kasema shule zilizoongoza ni za wakatoliki...hajasema waliokuwa wanasoma huko ni wakatoliki...but tangu lini wale wenzetu wa dini nyingine wameanza kupeleka watoto wao kwenye shule za wakatoliki(makafirii)..but kuna dini flani huwa inashule zake na huwezi kuziona zikifanya vizuri labda mikiani huko ndo utaziona... sjui wanakwama wapi...but hata ukiangalia hayo majina ya wanafunzi walioongoza utagundua karibu wote wanatoka dini flaniUnaweza kututhibitishia kuwa wanafunzi wote waliokuwa wanasoma hizo shule zilizoongoza ni wakristo wakatoliki?....
Sent using Vertu Signature Cobra