Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mwambie huyoHawa hawa walioongoza ndio huenda hizo shule na ndo huongoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie huyoHawa hawa walioongoza ndio huenda hizo shule na ndo huongoza
Pale St Francis Mbeya kuna wasichana wachache ambao ni waislamu. Nilishuhudia masista wakihangaika kutafuta ustaadh ili awe anakuja kuwapa ilmu ya dini ya kiislamu.Yeye kasema shule zilizoongoza ni za wakatoliki...hajasema waliokuwa wanasoma huko ni wakatoliki...but tangu lini wale wenzetu wa dini nyingine wameanza kupeleka watoto wao kwenye shule za wakatoliki(makafirii)..but kuna dini flani huwa inashule zake na huwezi kuziona zikifanya vizuri labda mikiani huko ndo utaziona... sjui wanakwama wapi...but hata ukiangalia hayo majina ya wanafunzi walioongoza utagundua karibu wote wanatoka dini flani
Ukiona msabato anapata zero hata kama anasoma shule ya kata achilia shule ya kisabato jua ni msabato fake.Mara nyingi shule za Wasabato na Waislamu ndio wanaoongoza Kutuletea sifuri na Vilaza katika hii nchi.. Wao Wanajua kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa jamii
Kwako mitale na midimu
Huyu mmiliki Mhaya bado hajaacha wizi? Nakumbuka St. Mathew ya kwake pia ilivyofungiwa miaka ile.Hiyo ST Marks NECTA wanajiridhisha nini? Wakati mambo yote yalikuwa wazi na waliodanganya walikamatwa na kuhojiwa na wakasema ukweli wasomo na mwalimu aliye husika kudanganya.. Wasilete mambo uonevu wa samaki mmoja akioza wote wameoza.
Ukiona msabato anapata zero hata kama anasoma shule ya kata achilia shule ya kisabato jua ni msabato fake.
Misingi ya elimu ya msabato inamuandaa kuwa na elimu Itakayomfikisha Mbinguni na Kupasua elimu hizi za dunia zisizohitaji msuli mkubwa.
Kasome Kitabu cha kisabato kinaitwa '' Education ''. Sasa kama msabato au shule ya kisabato ikishindwa kutembea kwenye misingi iliyowekwa lazima ifeli tu.
Shule zote za Kisabato ni Takataka... Huko kewnye mashule ya kisabato hakuna kufundishwa zaidi ya kupewa Sumu za Manuscript za Ellen G White pamoja na Makambi ya Ngono Nasindwa kuelewa wazazi wanapata wapi ujasiri wa kupeleka watoto wao kwenye mashule ya Kisabato.....
Nyie ndio mnao tuletea shida katika dunia hii
Hakuna aliesema hawako..but ndugu zetu ckuhz wameanza kupeleka watoto wao kwa makafiriii wakati wanashule zaoPale St Francis Mbeya kuna wasichana wachache ambao ni waislamu. Nilishuhudia masista wakihangaika kutafuta ustaadh ili awe anakuja kuwapa ilmu ya dini ya kiislamu.
Unachosema ni uongo. Wengi si jobless. Mars nyingi huchukuliwa na serikal moja kwa moja au jeshi.
T. O is from Ilboro ArushaJamani T. O AMETOKA SHULE GANI? Mana dogo nae alikuwa anawania kuwa TO kutoka makurunza sec school kata ya makurunza.
Chagua kusuka au kunyoa
Haya mambo hayako hivyo,, akili za darasani na akili za kutafuta pesa huwa ziko tofauti,, usijisumbue sana kujua anachofanyaAcha kuwa na mawazo ya husda muda wote ni meuliza yupo wapi kwa sasa au anamiliki nin ili nipate kuona impact ya perfomance yake imemfikisha pale alipopataka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kemebos na Kaizirege zinamilikiwa na mtu mmojaMara kwa mara huwa wanaingia , sema Kaizilege ndo wamepigwa kibuti mara hii , nao huwa hawakosi top ten
Kwani wasimamizi wa taasisi iliyofutiwa matokeo kwa kutoboa ukuta waingize majibu wanasemaje au wamechukua hatua ganiNasubiri wasimamizi wa taasisi ile watachukua hatua gani maana ni aibu sana
Kwani wasimamizi wa taasisi iliyofutiwa matokeo kwa kutoboa ukuta waingize majibu wanasemaje au wamechukua hatua gani