Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Yeye kasema shule zilizoongoza ni za wakatoliki...hajasema waliokuwa wanasoma huko ni wakatoliki...but tangu lini wale wenzetu wa dini nyingine wameanza kupeleka watoto wao kwenye shule za wakatoliki(makafirii)..but kuna dini flani huwa inashule zake na huwezi kuziona zikifanya vizuri labda mikiani huko ndo utaziona... sjui wanakwama wapi...but hata ukiangalia hayo majina ya wanafunzi walioongoza utagundua karibu wote wanatoka dini flani
Pale St Francis Mbeya kuna wasichana wachache ambao ni waislamu. Nilishuhudia masista wakihangaika kutafuta ustaadh ili awe anakuja kuwapa ilmu ya dini ya kiislamu.
 
Mara nyingi shule za Wasabato na Waislamu ndio wanaoongoza Kutuletea sifuri na Vilaza katika hii nchi.. Wao Wanajua kupandikiza chuki za kidini miongoni mwa jamii

Kwako mitale na midimu
Ukiona msabato anapata zero hata kama anasoma shule ya kata achilia shule ya kisabato jua ni msabato fake.
Misingi ya elimu ya msabato inamuandaa kuwa na elimu Itakayomfikisha Mbinguni na Kupasua elimu hizi za dunia zisizohitaji msuli mkubwa.

Kasome Kitabu cha kisabato kinaitwa '' Education ''. Sasa kama msabato au shule ya kisabato ikishindwa kutembea kwenye misingi iliyowekwa lazima ifeli tu.
 
Hiyo ST Marks NECTA wanajiridhisha nini? Wakati mambo yote yalikuwa wazi na waliodanganya walikamatwa na kuhojiwa na wakasema ukweli wasomo na mwalimu aliye husika kudanganya.. Wasilete mambo uonevu wa samaki mmoja akioza wote wameoza.
Huyu mmiliki Mhaya bado hajaacha wizi? Nakumbuka St. Mathew ya kwake pia ilivyofungiwa miaka ile.
 
Ukiona msabato anapata zero hata kama anasoma shule ya kata achilia shule ya kisabato jua ni msabato fake.
Misingi ya elimu ya msabato inamuandaa kuwa na elimu Itakayomfikisha Mbinguni na Kupasua elimu hizi za dunia zisizohitaji msuli mkubwa.

Kasome Kitabu cha kisabato kinaitwa '' Education ''. Sasa kama msabato au shule ya kisabato ikishindwa kutembea kwenye misingi iliyowekwa lazima ifeli tu.

Shule zote za Kisabato ni Takataka... Huko kewnye mashule ya kisabato hakuna kufundishwa zaidi ya kupewa Sumu za Manuscript za Ellen G White pamoja na Makambi ya Ngono Nasindwa kuelewa wazazi wanapata wapi ujasiri wa kupeleka watoto wao kwenye mashule ya Kisabato.....

Nyie ndio mnao tuletea shida katika dunia hii
 
Hizi ni dharau kutoka kwa Mpagani wa Kiroma

Lakini sishangai! Kazi ya RC ni kuandaa Kizazi cha Walevi
 
Pale St Francis Mbeya kuna wasichana wachache ambao ni waislamu. Nilishuhudia masista wakihangaika kutafuta ustaadh ili awe anakuja kuwapa ilmu ya dini ya kiislamu.
Hakuna aliesema hawako..but ndugu zetu ckuhz wameanza kupeleka watoto wao kwa makafiriii wakati wanashule zao
 
Haya maisha bana nimeyachunguza hayo matokeo wengi wamepata single digit (yaani one ya 1-10 ) ila kuna mmoja au wawil skosei ana one ya 15 cha ajabu usikute naye anasikitika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri wasimamizi wa taasisi ile watachukua hatua gani maana ni aibu sana
Kwani wasimamizi wa taasisi iliyofutiwa matokeo kwa kutoboa ukuta waingize majibu wanasemaje au wamechukua hatua gani
 
Kwani wasimamizi wa taasisi iliyofutiwa matokeo kwa kutoboa ukuta waingize majibu wanasemaje au wamechukua hatua gani

Nadhani ww uliyofuatilia hiyo taasisi ndio ungesema,mm nmefiatilia taasisi nyingine iliyokaribu na mazingira yangu
 
Back
Top Bottom