Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Kama ukiangalia matokeo vzr ,shule za serikali namba za division ina increase from left to right ,shule za binafsi namba au idadi ya division increase from right to left ,ufaulu umepanda according to wenyewe ,and nobody cares, kama ni iv tu serikali inaandaa vibarua wa viwandani +bodaboda+baamed,Instagram post za ajabu cjui nn mnato natabiri ztaongezeka kama ufaulu .
 
HUYO ANAYEPONDA SHULE ZA WASABATO HATA HAJUI MATOKEO YA SHULE ZA WASABATO, ASINGEANDIKA UPUPU WAKE HUO, NIMEMUWEKEA MATOKEO
Yani kweli umekaa na kujitutumua ndio umeamua ku-post ushenzi huo hapo juu...

Kwani hayo matokeo yanatifauti gani na Muslim....

Hivi hujui hakuna tofauti kati ya Div 4 na Div 0...?
 
Nadhani nimeeleweka...

Ndiyo umeeleweka kuwa wewe ni Mpumbavu!

Watu wanajadili Matokeo na Ufaulu wewe unajadili Dini na Ufaulu.

Sasa sijui habari za dini zimekujaje hapa!

Tena usijeshangaa kuwa Kwenye Wilaya unaoshi Wapo hao unaowadharau Wasabato na Muslims badhi yao Kuwa ni Mabosi Wako Kiserekali.

Acha upumbavu hakuna uhodari wala ushujaa kwenye kujadili dini.

Mwerevu ni yule anayezungumza changamoto ikisha akazitolea Way forward..

Lakini wewe unalialia na kudharau tu huku ukijiona shujaa kumbe ni Brainless.

Sijui inhelikuwa Hiyo dini yako imeanzia kwenye Familia yenu ingekuaje!!!! Wakati dini yenyewe imekuja na wazungu tukaipokea tu.

So uhodari wala ushujaa kujadilijadili DINI tu kwa dharau.

Hebu jadili performance ya Watanzania kwani Hizo shule za RC sidhani kama zinachangia hata asilimia 5% ya Wanafunzi wote nchini ambao Maelfu kama sio Malaki ya Watanzania wanaosoma Shule za Kata za Serikali Wakiwemo Wasabato, Wakatoliki na Waislamu wanafeli Kwa Makundi.

Lakini wewe umekomaa na dini tu!!!

Unajua Shule za Serikali zimetoa Zero elfu ngapi? Sasa endelea kukomaa na Wasabato.
 
Km inawezekana mfanyie mpango apate hata cheti cha form four tu km sivyo muingize kwenye ujasiriamali kwasababu wasomi wapo wengi tu na hawana kazi
Hv inawezekana kweli, asome miaka mi4 apate zero aje asome miaka mi2 na apate cheti kweli?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Shule zote za Kisabato ni Takataka... Huko kewnye mashule ya kisabato hakuna kufundishwa zaidi ya kupewa Sumu za Manuscript za Ellen G White pamoja na Makambi ya Ngono Nasindwa kuelewa wazazi wanapata wapi ujasiri wa kupeleka watoto wao kwenye mashule ya Kisabato.....

Nyie ndio mnao tuletea shida katika dunia hii[/QUOTE
They are gates to hell, if the word of God is not Paramount.
Itakufaidia nini kupata division one ya saba alafu ukaishia kuwa atheist. Bora uende Shule za SDA ambapo unapata vyote, au ukikosa kimoja kwa uzembe wa management hilo la uzima wako kama ukipenda huwezi kulikosa.
Shule za Kisabato Hutajuta kumpelekea mtoto wako ndugu hacha kupiga makelele mitandanoni.
Mpeleke Heritage ukonga au Kitungwa Sda Moro kama upo DSM. Hutajuta.
 
Ndiyo umeeleweka kuwa wewe ni Mpumbavu!

Watu wanajadili Matokeo na Ufaulu wewe unajadili Dini na Ufaulu.

Sasa sijui habari za dini zimekujaje hapa!

Tena usijeshangaa kuwa Kwenye Wilaya unaoshi Wapo hao unaowadharau Wasabato na Muslims badhi yao Kuwa ni Mabosi Wako Kiserekali.

Acha upumbavu hakuna uhodari wala ushujaa kwenye kujadili dini.

Mwerevu ni yule anayezungumza changamoto ikisha akazitolea Way forward..

Lakini wewe unalialia na kudharau tu huku ukijiona shujaa kumbe ni Brainless.

Sijui inhelikuwa Hiyo dini yako imeanzia kwenye Familia yenu ingekuaje!!!! Wakati dini yenyewe imekuja na wazungu tukaipokea tu.

So uhodari wala ushujaa kujadilijadili DINI tu kwa dharau.

Hebu jadili performance ya Watanzania kwani Hizo shule za RC sidhani kama zinachangia hata asilimia 5% ya Wanafunzi wote nchini ambao Maelfu kama sio Malaki ya Watanzania wanaosoma Shule za Kata za Serikali Wakiwemo Wasabato, Wakatoliki na Waislamu wanafeli Kwa Makundi.

Lakini wewe umekomaa na dini tu!!!

Unajua Shule za Serikali zimetoa Zero elfu ngapi? Sasa endelea kukomaa na Wasabato.
Usimtukane anatakiwa kusaidiwa...
Otorong'ong'o
 
Hv inawezekana kweli, asome miaka mi4 apate zero aje asome miaka mi2 na apate cheti kweli?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Ndiyo inawezekana Mkuu!

Mimi ninaye ninamjua Mwalimu wa Shule alisoma Shule niliyosoma mimi akapata Zero baadae Karejea Mtihani baada ya mwaka Mmoja tu akapata III kaingia Advance na Sasahivi Ana Bachelor ya Education anasomesha somo la Biology Sekondari moja hapa nchini.

Kuna mmoja Yeye Hii wiki iliyopita Kadefend PhD yake ya Psychology wakati Alikula Zero FIV akarejea Mtihani akatoboa na Kuingia Advance, then Kasoma Bachelor of Arts with Education Kasomesha English & History, Then Kagonga Master, sasahivi Kamaliza Kudefend Research Yake PhD.

Kwahiyo usishangae kuona Maprofessa hawa tunaowashuhudia TZ wamepitia mengi.
 
Sijui inhelikuwa Hiyo dini yako imeanzia kwenye Familia yenu ingekuaje!!!! Wakati dini yenyewe imekuja na wazungu tukaipokea tu.
Pumbavu kabisa wewe! Yani wewe huoni Kanisa Katoliki na Shule zake zimeendelea kuongoza...Katika Shupe 100 bora Kanisa Katoliki linashule Zaidi ya 80%

Hapa tunaangalia impact ya Kanisa Katoliki ktk Elimu ya Dunia na Tz kwa Ujumla...
 
You are right! End of story
 
Hamna tofauti na ndugu zenu Waislam....Wakati wao wanang'ang'a na quran nyie mnang'ang'a na tafsiri Potofu ya Nabii Mke EGW ya vitabu vya Daniel na Ufunuo.....Mtafaulu saa ngapi...

Endeleeni kutuzalishia Sifuri, malaya wa Makambi na Mabaa medi mtaani
utakuwa umelewa mtumishi. ukiwa sawa uandike upya.
 
utakuwa umelewa mtumishi. ukiwa sawa uandike upya.
Tunamshuku Mungu kwa kutupatia JF....Maana huku tutatoa tahadhari mapema wazazi na walezi wasithubutu kupeleka watoto kwenye shule za Kisabato....

Huko kumejaa ngono na makambi ya kufundishia ngono
 
Tunamshuku Mungu kwa kutupatia JF....Maana huku tutatoa tahadhari mapema wazazi na walezi wasithubutu kupeleka watoto kwenye shule za Kisabato....

Huko kumejaa ngono na makambi ya kufundishia ngono
Wapelekevwatoto wako shule za kisabato. Wakizingatia watapata mafanikio kimaisha na Kiroho.
Ushuhuda wa shukrani za wazazi wengi baada ya watoto wao bila kujali dini walipita shule hizo zimewafanya watoto kuwa raia wema na Wacha Mungu.

mama mmoja jirani kila akiniona anashukuru kwa watoto wake kusoma shule za kisabato licha ya yeye kuwa mkatoliki.
acha porojo
 
Back
Top Bottom