Irenga
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 2,639
- 1,873
Hatujambo!Ukimtafuta dogo wa form 4 aliesoma shule zetu zileView attachment 1003561
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujambo!Ukimtafuta dogo wa form 4 aliesoma shule zetu zileView attachment 1003561
Sent using Jamii Forums mobile app
Km inawezekana mfanyie mpango apate hata cheti cha form four tu km sivyo muingize kwenye ujasiriamali kwasababu wasomi wapo wengi tu na hawana kaziEheh bwana, halafu anadai anataka kurudia shule miaka miwili, simuelewi ujue!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni dharau kutoka kwa Mpagani wa Kiroma
Lakini sishangai! Kazi ya RC ni kuandaa Kizazi cha Walevi
Yani kweli umekaa na kujitutumua ndio umeamua ku-post ushenzi huo hapo juu...HUYO ANAYEPONDA SHULE ZA WASABATO HATA HAJUI MATOKEO YA SHULE ZA WASABATO, ASINGEANDIKA UPUPU WAKE HUO, NIMEMUWEKEA MATOKEO
Nadhani nimeeleweka...
Hv inawezekana kweli, asome miaka mi4 apate zero aje asome miaka mi2 na apate cheti kweli?Km inawezekana mfanyie mpango apate hata cheti cha form four tu km sivyo muingize kwenye ujasiriamali kwasababu wasomi wapo wengi tu na hawana kazi
Shule zote za Kisabato ni Takataka... Huko kewnye mashule ya kisabato hakuna kufundishwa zaidi ya kupewa Sumu za Manuscript za Ellen G White pamoja na Makambi ya Ngono Nasindwa kuelewa wazazi wanapata wapi ujasiri wa kupeleka watoto wao kwenye mashule ya Kisabato.....
Nyie ndio mnao tuletea shida katika dunia hii[/QUOTE
They are gates to hell, if the word of God is not Paramount.
Itakufaidia nini kupata division one ya saba alafu ukaishia kuwa atheist. Bora uende Shule za SDA ambapo unapata vyote, au ukikosa kimoja kwa uzembe wa management hilo la uzima wako kama ukipenda huwezi kulikosa.
Shule za Kisabato Hutajuta kumpelekea mtoto wako ndugu hacha kupiga makelele mitandanoni.
Mpeleke Heritage ukonga au Kitungwa Sda Moro kama upo DSM. Hutajuta.
Usimtukane anatakiwa kusaidiwa...Ndiyo umeeleweka kuwa wewe ni Mpumbavu!
Watu wanajadili Matokeo na Ufaulu wewe unajadili Dini na Ufaulu.
Sasa sijui habari za dini zimekujaje hapa!
Tena usijeshangaa kuwa Kwenye Wilaya unaoshi Wapo hao unaowadharau Wasabato na Muslims badhi yao Kuwa ni Mabosi Wako Kiserekali.
Acha upumbavu hakuna uhodari wala ushujaa kwenye kujadili dini.
Mwerevu ni yule anayezungumza changamoto ikisha akazitolea Way forward..
Lakini wewe unalialia na kudharau tu huku ukijiona shujaa kumbe ni Brainless.
Sijui inhelikuwa Hiyo dini yako imeanzia kwenye Familia yenu ingekuaje!!!! Wakati dini yenyewe imekuja na wazungu tukaipokea tu.
So uhodari wala ushujaa kujadilijadili DINI tu kwa dharau.
Hebu jadili performance ya Watanzania kwani Hizo shule za RC sidhani kama zinachangia hata asilimia 5% ya Wanafunzi wote nchini ambao Maelfu kama sio Malaki ya Watanzania wanaosoma Shule za Kata za Serikali Wakiwemo Wasabato, Wakatoliki na Waislamu wanafeli Kwa Makundi.
Lakini wewe umekomaa na dini tu!!!
Unajua Shule za Serikali zimetoa Zero elfu ngapi? Sasa endelea kukomaa na Wasabato.
Hv inawezekana kweli, asome miaka mi4 apate zero aje asome miaka mi2 na apate cheti kweli?
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Pumbavu kabisa wewe! Yani wewe huoni Kanisa Katoliki na Shule zake zimeendelea kuongoza...Katika Shupe 100 bora Kanisa Katoliki linashule Zaidi ya 80%Sijui inhelikuwa Hiyo dini yako imeanzia kwenye Familia yenu ingekuaje!!!! Wakati dini yenyewe imekuja na wazungu tukaipokea tu.
Pumbavu kabisa wewe! Yani wewe huoni Kanisa Katoliki na Shule zake zimeendelea kuongoza...Katika Shupe 100 bora Kanisa Katoliki linashule Zaidi ya 80%
Hapa tunaangalia impact ya Kanisa Katoliki ktk Elimu ya Dunia na Tz kwa Ujumla...
Peleka mwanao Shule bora za Kanisa KatolikiYou are right! End of story
Hamna tofauti na ndugu zenu Waislam....Wakati wao wanang'ang'a na quran nyie mnang'ang'a na tafsiri Potofu ya Nabii Mke EGW ya vitabu vya Daniel na Ufunuo.....Mtafaulu saa ngapi...Usimtukane anatakiwa kusaidiwa...
Otorong'ong'o
Halafu watoto wakishuaHIYO ST FRANCIS YA MBEYA NI SHIDA MIAKA YOTE, NI YA WASICHANA, SEMA HUWA WANACHUKUA WANAFUNZI WENYE UWEZO KWENYE MCHUJO WAO,
Sent using Jamii Forums mobile app
utakuwa umelewa mtumishi. ukiwa sawa uandike upya.Hamna tofauti na ndugu zenu Waislam....Wakati wao wanang'ang'a na quran nyie mnang'ang'a na tafsiri Potofu ya Nabii Mke EGW ya vitabu vya Daniel na Ufunuo.....Mtafaulu saa ngapi...
Endeleeni kutuzalishia Sifuri, malaya wa Makambi na Mabaa medi mtaani
Tunamshuku Mungu kwa kutupatia JF....Maana huku tutatoa tahadhari mapema wazazi na walezi wasithubutu kupeleka watoto kwenye shule za Kisabato....utakuwa umelewa mtumishi. ukiwa sawa uandike upya.
Wapelekevwatoto wako shule za kisabato. Wakizingatia watapata mafanikio kimaisha na Kiroho.Tunamshuku Mungu kwa kutupatia JF....Maana huku tutatoa tahadhari mapema wazazi na walezi wasithubutu kupeleka watoto kwenye shule za Kisabato....
Huko kumejaa ngono na makambi ya kufundishia ngono