Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
- Thread starter
- #21
daah, hii nayo kibokoKaka Nilikuwa sijui kumbe kuna Seminary zinafanya Vibaya hivi
http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/s1842.htm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah, hii nayo kibokoKaka Nilikuwa sijui kumbe kuna Seminary zinafanya Vibaya hivi
http://www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/s1842.htm
Matokeo yametoka tumeyaona. Results zimeonyesha nini maana ya shule za Kata. Sidhani kama wote tunaelewa maana au outcome ya performance ya shule za kata kwa kizazi kinachopita huko! Tunatengeneza vijana wa aina gani kwa mstakabali wa taifa la kesho. Au tunaongeza idadi ya wasomi waliomaliza Form 4 bila kujali kiwango cha elimuna uelewa waliopata. Tunahitaji kuongeza sauti ya kilio chetu kunusulu hata wale wachache ambao pengine wangeandaliwa katika mazingira stahiki wasingepotea kwa kufeli kwenye shule za kata. Pole sana mtoto wa maskini na mtoto wa mkulima maana wenye nacho wamekuchimbia shimo ili kukupoteza huku watoto wao wakipitishwa njia nyingine iliyo salama. Lakini kesho utawasikia waisema tumeongeza idadi ya shule na udahili wa wanafunzi kutoka ..... hadi ..... Lakini hao hoa hawazungumzii ubora wa wale wanaomaliza kwamba wampanda kutoka wapi hadi wapi. Nawashukuru twaweza kwa report yao ya kiwango cha elimu waliotoa mwakajana mwisho wasiwasi wangu wengi hatujaisoma http://www.twaweza.org/uploads/files/Je_watoto_wetu_wanajifunza.pdf (mtaalamu anaweza kuiweka vizuri ili mtu akiclick ifunguke direct na si vibaya akinielekeza nami pia jinsi ya kuweka vizuri)