Shule zilizofanya vizuri kitaifa ambazo zipo katika kundi la watahiniwa chini ya 40 ni pamoja:
Don Bosco (Iringa),
Feza wasichana (Dar es Salaam),
Maua Seminari (Kilimanjaro)
Queen of Apostle Ushirombo (Shinyanga)
Sengerema Seminari (Mwanza)
Sanu Seminari (Manyara)
Bethelsabs Wasichana (Iringa)
St Joseph Kilocha Seminari (Iringa)
Dungunyi Seminari (Singida)
Mafinga Seminari (Iringa).
Pia zipo shule za mwisho ambazo zimefanya vibaya zilizokuwa na watahiniwa chini ya 40 kati ya hizo:
Sanje ya mkoani (Morogoro)
Daluni (Tanga)
Kinangali (Singida)
Mtanga (Lindi)
Pande (Lindi)
Imalampaka (Tabora)
Chongoleani (Tanga)
Mwamanenge (Shinyanga)
Mipingo (Lindi)
Kaoze (Rukwa).