udini huo!
Na ukanda mkuu kwa maana top ten students sita ni kutoka kanda ya kaskazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
udini huo!
namba wanatoa baraza la mitihani, majibu wanatoa wao na kila mwanafunzi taarifa zake zipo baraza la mitihani, watashindwaje kuchakachua watakavyo? mfumo huu haukubaliki hata kidogo, hii ni dhulma kubwa wanayofanyiwa muslims, ila naamin kila jambo lina mwisho.
Na ukanda mkuu kwa maana top ten students sita ni kutoka kanda ya kaskazini
kaskazini oyeee
what is your motive behind with this thread?
may be I am missing something, somewhere.
yes...
kati ya hizo shule 10 za katoliki ni 9... very nice my church am so proud to be a CATHOLIC
Mkuu waamue hawa maust! .1Mtume ametuagiza tuifuate hata china! .2 walahi ilimu yoote ipo ndahi ya Qur'an china ufuate nini?Wakristo ni asilimia ngapi kati ya waajiriwa wote NECTA?
Sijaridhika na matokeo,nilitegemea top 10 yote...
Jitihada zinahitajika kufanikisha hili
Wakristo ni asilimia ngapi kati ya waajiriwa wote
NECTA?
mkuu si mbayaa coz zitazofuatia zoote ni seminaries from 11 to 100..