Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
namba wanatoa baraza la mitihani, majibu wanatoa wao na kila mwanafunzi taarifa zake zipo baraza la mitihani, watashindwaje kuchakachua watakavyo? mfumo huu haukubaliki hata kidogo, hii ni dhulma kubwa wanayofanyiwa muslims, ila naamin kila jambo lina mwisho.

just go n appeal there is a chance
 
Ungeweka na wale walokuwa wa mwisho tuone watoto wa mama wa kambo kama hawako kule!
 
Hapa ninapoishi sehemu kubwa ya ardhi haijapimwa au tuyaite mashamba, madhehebu kama matatu hivi ya dini yamenunua maeneo kwa ajili ya kuyaendeleza. Jambo lililochonifurahisha ni hili dhehebu moja ambalo wakati wengine wamenunua hekali nyingi wao wanunua eneo linalotosha kujenga nyumba yao ya ibada tu! Labda siku wakihitaji shule na chuo kikuu watapanua vertically. Kuna wakati huwa tunabishana na mke wangu kuwa wakatoliki kumiliki maelfu ya ekali za ardhi ni kwasababu walijipenyeza kwenye maeneo yale kabla watu hawajaona umuhimu wake, kwenye hili nimekubali kushindwa! hivi kumbe watu vnatofautiana malengo tu!
 
Kama kweli tuna nia ya dhati ya kujifunza kwa walioweza ni vyema tukaacha ukristu na uislamu,kusema kweli shule nyingi za kanisa katoliki zimefanya vizuri sana,kuna kosa gani kujifunza kwa alieweza?Watoto wetu wengi wakifanya vizuri ndio neema kwa nchi yetu na vizazi vyetu,Wamiliki wa shule zilizofelisha nendeni kawaulizeni Marian,Cannosa,precious blood,Don bosco walifanya nini wakaweza?Hakuna wa kuwacheka.
 
what is your motive behind with this thread?
may be I am missing something, somewhere.

Kama nitanunua kesi......

Complains zisizo na facts zisiendekezwe watu wajikite katika kujua kwanini hao wanafanikiwa na ku correct their mistakes badala ya ku complain tu kwakutumia hisia na nadharia
 
matokeo haya hayana uhalisia hata kidogo na jinsi watoto walivyokuwa darasani,ni matokeo ya kumpumbaza mkuu wa kaya kuwa BRN inapata mafanikio lakn uhalisia unatafutwa mtaji wa kisiasa
 
Wakristo ni asilimia ngapi kati ya waajiriwa wote NECTA?
Mkuu waamue hawa maust! .1Mtume ametuagiza tuifuate hata china! .2 walahi ilimu yoote ipo ndahi ya Qur'an china ufuate nini?
 
Hizo seminary hivi mtoa mada unajua uwa zinawanafunzi wangapi?
So unataka kutuaminisha RC-ROMAN CATHOLIC wanaakili kuliko wengine?
Acha fikira za ushoga na huo uRC wako
 
HUO NI MTAZAMO WAKO!
Taasisi yoyote inayoweza kusimamia DISCPLINE and MORALITY itapata matokeo mazuri kuliko hayo. Mwanafunzi wengi wa TZ wamekosa malezi sahihi ya wazazi,walezi,waalimu, naviongozi wa dini, BADALA yake utamadini wa kimarekani umetawala akili zao, simu, facebook, picha chafu n.k TUKIAMUA kubadilika watoto WOTE watafaulu vizuri na tutajivunia kizazi tunachokiandaa
 
Utabaki hivyohivyo!


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom