Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
Pamoja na nidhamu, ufuatiliaji, motisha kwa walimu, mazingira mazuri ya kujisomea, shule zote zinazofanya vizuri zinawachuja wanafunzi kupita kiasi kuhakikisha wale wanaofanya vizuri tu ndo wanafanya mitihani kupitia shule hizo na maksi za chini kwa mitihani shuleni ni 65%. Pia angalia walivyo makini kwenye selection. Marian wanafanya mtihani wanfunzi karib 4000 wanachagua 100 na akitetereka anaambiwa ahame shule haiwezi.
 
Duuh aisee mkuu hii naelekea kupata ban...
naomba ibaki kama ulivyopost "Mkuu cc tunashindana kwenda ahera ya dunia hatuyataki tunapita tu."
 
mikazó;8775295 said:
akili MBOVU HIYO INATOKANA NA BANGE ZAKO UNAZOVUTA HUKO VICHAKANI,USILETE MAMBO YAKO YA BANGE HAPA,UKISHAKUNYWA HZO BANGE ZAKO UNAWAZA KULETA CHUKI ZA KIDINI HAPA,PELEKA BANGE ZAKO HUKO KWA WAVUTA BANGE WENZAKO

kwan mi nimetukana ndugu yangu?

kumtaja hamis ndo iwe chanzo cha wewe kubonyeza button kwa hasira na umekunja uso kama umemuona mtoa roho mbele yako namna hiyo kisa tu excel?

hata hivyo nilikuwa napita tu.... kama umefeli umefeli tu!
 
roman ni world philosophers ,ndo unazinduka leo? hatuna mapepe wachawaongee tu,ilmu itawatesa
 
akina hamis, juma, abubakar na abduli, wako wapi?

ina maana wao hawana shule ama hawana wanafunzi wenye akili?

by the way, imam mkuu, mr simba, alisema wasomeshe watoto wao sijui kama walielewa?

hahahhahahhaha,,,,,,,,Mkuu hawa jamaa shule yao ipo kwa Makochali,,,,wengine ipo Leaders Na wale wa Kwa MACHENI nahic matokeo yao yanatoka Jumatatu.
 
Hao kina hamisi ndio hao hao kuanzia Rais wako. AGP. makamo wa rais! Na mawaziri wengine kedekede!

Au ulitaka mpaka mwanao aolewe na juma ndio uwaone!?

ahaaa!! ahsante...! mkuu nimewamiss sana bana we na Baba V!

nakumbuka the last day when baba v was burned because of you.. hahahaaa!!

nb! mkuu dont take that as serious,.... this may be as just the part of conversation to make things go!

cheers!
 
Last edited by a moderator:
hahahhahahhaha,,,,,,,,Mkuu hawa jamaa shule yao ipo kwa Makochali,,,,wengine ipo Leaders Na wale wa Kwa MACHENI nahic matokeo yao yanatoka Jumatatu.

mkuu wamenikana vibaya tena kwa matusi effectively!

wanadai eti rais wao, IGP wao mufti wao mbona wana fyeo fingi! hahahaaa!!

nikasema haya, ili mradi niwapake mafuta!
 
ahaaa!! ahsante...! mkuu nimewamiss sana bana we na Baba V!

nakumbuka the last day when baba v was burned because of you.. hahahaaa!!

nb! mkuu dont take that as serious,.... this may be as just the part of conversation to make things go!

cheers!

Mkuu maneno yako yamenigusa pabaya!

Na mimi vilevile napenda kujadili as long as your part of the Conversation Does not show disrespect to my FAITH!

Respect!

Na yule Baba V ni mzee wa rusha roho!
.
We dont play the game!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu maneno yako yamenigusa pabaya!

Na mimi vilevile napenda kujadili as long as your part of the Conversation Does not show disrespect to my FAITH!

Respect!

Na yule Baba V ni mzee wa rusha roho!
.
We dont play the game!

hahahaaa!!! mkuu dont mind about those.. they are just the part of the results..

actually, toka siku ile mpigane na Baba V, siwaoni tena mkinywa pamoja! kwani tatizo haswa ni nini?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!!! mkuu dont mind about those.. they are just the part of the results..

actually, toka siku ile mpigane na Baba V, siwaoni tena mkinywa pamoja! kwani tatizo haswa ni nini?

Tatizo mimi najaribu kuelimisha Ummah!
Na yeye mchekeshaji!

Two different world's but the same planet!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! haya njoo cit chat tukuoze sasa uzae na watoto wawe na akili kama zako..

Nashkuru kwa mualiko lkn huko sio kwangu!

Mi hupenda kuwa ktk jukwaa ambalo unafikiri kabla ya kuandika. Sio unaandika kwanza halafu unafikiri!

Thats why baba v alikula Ban! Alisahau kufikiri kabla ya kuandika!
Na alipokumbuka kufikiri! It was too late.!
 
haya mkuu.. lakini unayaonaje haya matokeo kiujumla?

unadhani kuongezwa points mpaka 49 ni suluhisho la kuongeza performance kwa wanafunzi kiujumla?
 
haya mkuu.. lakini unayaonaje haya matokeo kiujumla?

unadhani kuongezwa points mpaka 49 ni suluhisho la kuongeza performance kwa wanafunzi kiujumla?

Kuongeza point peke yake bila proper foundation ni kuwaonea wanafunzi! Na kuwakatisha tamaa hata wale wenye vipaji!

Kabla ya kuongeza chochote kinachotakiwa ni kuwapa wanafunzi mafunzo ya ziada!, kuboresha mafunzo kwa hao waalimu ili wapatikane waalimu wenye viwango vya juu vya ufundishaji! Na mishahara yao pia iboreshwe ili kuwapa nguvu zaidi ktk kazi zao!

Kuwaongezea wanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya elimu kwa gharama nafuu.
Na mwisho kuweza kuwasaidi gharama za upatikanaji wa hivyo vifaa vya elimu wale wanafunzi wenye uwezo mdogo kimaisha!

Si kukurupuka tu na kuongeza points!

Na hii ni kawaida ya serikali yetu kutoa maamuzi kama haya!

Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!
 
just go n appeal there is a chance

Akafu wakija kukutwa wamejaa kwenye maifisi mbali mbali wanaambiwa ni ukanda na ukabila.

Sijaridhika na matokeo,nilitegemea top 10 yote...
Jitihada zinahitajika kufanikisha hili

Mkuu wahimize wanao wasome kwa bidii na uwekeze kwenye elimu yao vinginevyo utabaki na mfumo kristo milele maana wkt mnahangaika na mfumo wenzenu wanazidi kuwekeza,nilitegemea mwaka huu walao pawepo na tofauti lkn naona bado mnalalama tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Proud to worship white man's idol!

Teh teh teh teh!

Umenichekesha ndugu.
Kwa kiswahili tafadhali hiyo ''WORSHIP white man's idol'''
Kufaulu kwa kiwango cha juu katka kila jambo ni moja ya malengo ya dini ya freemason.
Lengo sio kuleta maendeleo ya mtu mwingine ni kuendeleza mkakati wa kumuingiza shetani madarakani yaani kutawala dunia.Ndo mana mtu ni Professor lkn anainama na kuisalimu sanamu na kuabudu kwa kunuia. Hawa ma top 10 Mchango wao kimaendeleo ya taifa ni ziro zaidi wanapata scholarship na kusoma ulaya,wakipata ajira ni kuibia nchi na kupenda starehe za pombe na ngono maofisini.Wana nidhamu ya muda tu.
Nidhamu ya kweli haipo rohoni mwao.
 
Ndalichako arudi kitini maana kumeng'aa kama zamani sababu solo kama Arabic language halijafanywa vizuri kama English
 
Hatujifunzi kwa makafiri sisi!!!

Majungu hayo mkuu. Mbona hata mtume SAW alijifunza mengi kwa watu wasio waislam (Makafil) Kama unabisha kasome the rise of Muhamad and Muslim religion itakusaidia
 
Kuongeza point peke yake bila proper foundation ni kuwaonea wanafunzi! Na kuwakatisha tamaa hata wale wenye vipaji!

Kabla ya kuongeza chochote kinachotakiwa ni kuwapa wanafunzi mafunzo ya ziada!, kuboresha mafunzo kwa hao waalimu ili wapatikane waalimu wenye viwango vya juu vya ufundishaji! Na mishahara yao pia iboreshwe ili kuwapa nguvu zaidi ktk kazi zao!

Kuwaongezea wanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya elimu kwa gharama nafuu.
Na mwisho kuweza kuwasaidi gharama za upatikanaji wa hivyo vifaa vya elimu wale wanafunzi wenye uwezo mdogo kimaisha!

Si kukurupuka tu na kuongeza points!

Na hii ni kawaida ya serikali yetu kutoa maamuzi kama haya!

Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!

Hapo mkuu nimekupata, ungekuwa unachangia kwa uwezo huu siku zote inakuwa safi. Tatizo lako lingine mada za udini zinakutoa ufahamu kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: NOD
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom